joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Tatizo linalokusumbua wewe ni ushamba wa kutokutembea nje ya nyumba za Kibera na Korogocho, wewe unadhani kwanini tunapata pesa mara nne zaidi yenu, robo ya revenue itokanayo na utalii wetu inatokana na utalii wa ndani, hiyo ni karibu sawa na mapato yenu yote ya utalii, yaani jumlisha mapato ya utalii wenu wa ndani pamoja na utalii wa nje.Sisi tunakuza domestic tourist iyo DSR yenu walalas wamezoea Hanna domestic tourist kabisa...sisi...Mombasa wakati wa holiday utawaona ..wakikuyu wajaluo wasomali.wakamba wamijikenda.wa nandi...kwa beach
Kama watalii wetu wa ndani wakiamua kuja kutembea Kenya, hamtohitaji wazungu kuja kutalii Kenya, kwasababu mtapata fedha sawa na hizo wanazowaleteeni wazungu.
