Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha ya kwanza na ile ya pili, sio Dar, lete ushahidi kuthibitisha hii ni Dar, hakuna land mark yoyote ya Dar hapo, picha ya tatu hiyo ni Dar, lakini subject ya picha hii ni hilo jengo refu hapo, unaweza kuliona na kulifanyia tathmini, lakini zile nyumba kwa mbali, kinachoonekana ni bati za nyumba pekee huwezi kufanya analysis yoyote ile, na picha mbili za mwisho, zimepigwa kutoka mbali hewani huwezi kutofautisha kati ya nyumba ya ghorofa na kawaida, kwanini msipige picha mtu akiwa chini ardhini kama zile za Kibera zinaxowekwa ili tuone aina za nyumba kama ni tofali au sheet, tuone drainage system, na roads, mnaficha nini?

pia picha ya mwisho ni ya kitambo sana.
 
Ndinda ukipata time piga picha Mbezi beach,mikocheni bahari beach utume huku, najua sehemu kali ziko mob Ila hawa wazembe wanaleta Maneno ya khanga


we all know 80% of your city is covered by informals......go home you are drunk
 
it's a pity that Tanzanians think they have a city in Dar....lol.mji mzima ni changudoa uswazi tu
....wenyeji nao ni tabia za vijiji wamebeba...
.dar is slum yawa
Pity how people with low IQ like you still exist, you guys are Mean mnahasira za ovyo ovyo tu, jeuri and tabia za ajabu, kenyans mnajulikana for that and yourselves mnajijua hebu jitulize..
 
why it's always us?
8ee8296e4870e29c42cf33d88e834580.jpg
Bwana kwanza kwa tourism attraction wala tusiende mbali, zanzibar tu imewafunika . Stone town lao {mombasa} linadoda , no one even considers it as vocation destination.
 
this building though🙂🙂🙂🙂
27606991049_d0db0ab905_o.jpg
prism tower inDeed is a beautiful tower but my qn is why mnapenda kugeza architecture za US then mnazi twist kidogo tu, dontchu guys hv enough brain's to think of somethin completely new?
 
Do you mean being copycats is exposure!? That's why Dar as a city has no CHARACTER! Being on the seafront is the only upside,but wait,even Mogadishu is on the seafront!
COPYCATS, nairobi people please lets not get there.. building zenu jamani nyingi ni copycat za new york sana sana zile za upper hill. Ive been there alot hata the locals wanakubali
 
Bwana kwanza kwa tourism attraction wala tusiende mbali, zanzibar tu imewafunika . Stone town lao {mombasa} linadoda , no one even considers it as vocation destination.


na Diamond wenu na Alikiba wameshinda kuja Mombasa kila weekend........how funny
 
good morning jobless nyang'aus wherever you are in that tribal country.

tanzania is lit....let the battle continues.

2a3d925fd300da7321443d7fe3e07e25.jpg


NB:
i'm writing this comment at this hour(5am)while i'm on the way to my office.

you won't understand why real men walk up at 5am because majority of you are unemployed (not working in the formal sector).

tupatane CBD area kwa free Wi-Fi around 10am.

hapa kazi tu.
Walijikuta wametuwahi na speed train project yao which ended to be a failure .. as they say, ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia maji.. tushaweka maji tanzania..
 
Back
Top Bottom