Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Driving through Nyerere Bridge is overwhelming........

ef96a6521ba8e1f1505362a08c1dfd61.jpg

hatutapumua juu ya daraja...lol.for an LDC that's an achievement........hata mpake makeup kwa daraja kazi ni kuvukisha tu......atleast itasaidia ule upande wa msitu na vijiji wa dar is slum ujengeke
 
Me.si ja.compare lkn nyie mnapost bridge yenu 30tmes ni kama ss bridge
Hapo ndipo mnaposhangaza,vitu adimu tunapost mnalia,mbona mmepost thika highway zaidi ya ×400 Tumevunga
Hamna daraja kama Ilo ukanda Huu bali Dar. ..Maumivu yakizidi wakauchome tramadol
 
Sikia jamaa an an of any a anajua msa najui k2 ni o usenge 2
Naona kisu cha ngariba kimepita kwenye perineum[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole na uache kufananisha kigamboni bridge na upuuzi wenu wa nyali
 
Sikia jamaa an an of any a anajua msa najui k2 ni o usenge 2
Halafu umeandika lugha gani hapa nyumbu wewe[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Nyie kina el matador na Lewis ,hivi hawa akina Mombasa 254 ndio wakenya wa pwani mliokua mnatutambia kwamba wanajua kiswahili? Smh!
Rubbish indeed!
 
hatutapumua juu ya daraja...lol.for an LDC that's an achievement........hata mpake makeup kwa daraja kazi ni kuvukisha tu......atleast itasaidia ule upande wa msitu na vijiji wa dar is slum ujengeke
Punguza milio,fanyia make-up nyali upost basi...What man can do woman can do ama nn
 
Back
Top Bottom