Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mtauziaje Kenya maziwa wakati kenya is Africa's third biggest milk producer? Kuhusu lisu, mbona hakuenda Uganda, ama Malawi, au hata Mozambique? Aren't these your neighbours as well? Hizi figures zingine hapo juu umetoa wapi? huku tunatumia links to prove your arguments. Last time I checked, Kenya has more paved roads than Tanzania and I have the links.Hebu prove your points above please.


nawaambianga hawa watanzania wana akili size ya njugu.......huwa na shake tu kichwa kwa mshangao na kuendelea na shughuli ya kujenga uchumi
 
BRT TERMINAL
2940439c1c068565dba7fdd9516ec947.jpg
ff4bf47a0686521f0830863036f0e95b.jpg
 
Utalii wa Kenya unaudhi sana
Sisi tunakuza domestic tourist iyo DSR yenu walalas wamezoea Hanna domestic tourist kabisa...sisi...Mombasa wakati wa holiday utawaona ..wakikuyu wajaluo wasomali.wakamba wamijikenda.wa nandi...kwa beach
 
Sisi tunakuza domestic tourist iyo DSR yenu walalas wamezoea Hanna domestic tourist kabisa...sisi...Mombasa wakati wa holiday utawaona ..wakikuyu wajaluo wasomali.wakamba wamijikenda.wa nandi...kwa beach



middle income earners ni wachache sana Tz.....lazma wategemee wazungu tu
 
Eti satellite image , Na mwingine alisema Eti Subaru Legacy ni Gari ya zamani , halafu wanakutambia ni middle income , Best education system. Sijui ni utani Au Ndio kweli weupeeeee
Comment nyingine ni za kupuuza
 
Back
Top Bottom