mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Hahaha nawapa hope msife moyo![]()
Dar umeikubali sio,kwa shingo upande sana lakin!!
Mwanza,Arusha, Tanga,Mbeya! !
Hahaha nawapa hope msife moyo![]()
Dar umeikubali sio,kwa shingo upande sana lakin!!
Mwanza,Arusha, Tanga,Mbeya! !
Last time kwenda Mbeya nimeona ndio wanajengo kubwa la floor 10...Mbeya wanarestriction kwa majengo Marefu! !Tanga nalo pia jiji????
Halafu Mbeya vipi, hawazindui Lift nyengine?
Yaani huu upuuzi ndio ufananishe na kigamboni bridge?nyali bridge....
Mombasa city
![]()
![]()
Ujui vile barabara zenu zime pararaa.na jua....wololoLimeparara hilo![]()
![]()
pisha please....Last time kwenda Mbeya nimeona ndio wanajengo kubwa la floor 10...
mji mzima unakaa kibera....lakini wakiambiwa ukweli wanadhani ni kuonewadream-houses in dar is slum...
View attachment 669299
Oooo kwaivyo in tz jengo ikifika 10 floor no cityLast time kwenda Mbeya nimeona ndio wanajengo kubwa la floor 10...Mbeya wanarestriction kwa majengo Marefu! !
Ulienda shule unajua sababu ni nn!!
CC;Elimu ya kenya
Lakwenu linaboa na hizo taa za chemli utadhani akina mama mboga wanataka kukaanga vitumbua.Ujui vile barabara zenu zime pararaa.na jua....wololo
Oooo kwaivyo in tz jengo ikifika 10 floor ni cityLast time kwenda Mbeya nimeona ndio wanajengo kubwa la floor 10...Mbeya wanarestriction kwa majengo Marefu! !
Ulienda shule unajua sababu ni nn!!
CC;Elimu ya kenya
where is the official link naisubiria once again😀😀Bona Nairobi has 6400 millionaire with 3.3m na dar has 1200millionaire with a population of4.5m ....nimeona mnamake 30dolar
Kenya kila mara tunawaambia, elimu yenu imejikita zaidi katika kusambaza ukabila, rushwa na Kiingereza pekee, hivi unajua maana ya biashara?, production, distribution, marketing and sales, unaweza kuzalisha kwa wingi lakini ukashindwa kutimiza hivyo vipengele vilivyobaki, haina maana anayezalisha kwa wingi ndiye anayeuza kwa wingi, ndiyo sababu Uhuru Kenyatta alikuwa anazuia maziwa ya Tanzania ili auze kwa wingi Kenya, Magufuli amemgundua sasa hivi anakula naye sahani moja, subirini maziwa bora na yenye ladha tofauti yanaingia hapo Nairobi, you gonna test Bongo flavor test in milk.nawaambianga hawa watanzania wana akili size ya njugu.......huwa na shake tu kichwa kwa mshangao na kuendelea na shughuli ya kujenga uchumi
uneshaanza povu tena😀😀😀😀Tanzania inajulikana dunia kote kwa uwindaji wa albino wala hilo sio swala la kudebate
Hizo taa hazina tofauti na hiiYaani huu upuuzi ndio ufananishe na kigamboni bridge?
Hiyo ya bongo flavor nimeipenda.Kenya kila mara tunawaambia, elimu yenu imejikita zaidi katika kusambaza ukabila, rushwa na Kiingereza pekee, hivi unajua maana ya biashara?, production, distribution, marketing and sales, unaweza kuzalisha kwa wingi lakini ukashindwa kutimiza hivyo vipengele vilivyobaki, haina maana anayezalisha kwa wingi ndiye anayeuza kwa wingi, ndiyo sababu Uhuru Kenyatta alikuwa anazuia maziwa ya Tanzania ili auze kwa wingi Kenya, Magufuli amemgundua sasa hivi anakula naye sahani moja, subirini maziwa bora na yenye ladha tofauti yanaingia hapo Nairobi, you gonna test Bongo flavor test in milk.
Slow but sure tutaki kuwa na tower iliporomoka kama ile yen uPinnacle halijaanza bado tumechoka kuona shimo na concrete mixer!!pandisheni ata ground floor
nyali bridge....
Mombasa city
![]()
![]()