Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

"Sio kama kwenu, ukienda Turkana, wajir and northern part, bado hakuna lami..." That statement above just shows how ignorant/misinformed you are about kenyan affairs. Unajifanya wajua wakati in the real sense hakuna unachijua. Unachosahau ni kwamba lapset inapitia kwa hizo counties ulizotaja ikienda Ethiopia na south sudan. lapset, among others are a few examples about how northern kenya is changing. A week ago, a docuentary aired on NTV about the changing face of northern Kenya in matters road network. Below is a link to a thread here on JF touching on road networks in northern Kenya. Jielimishe kidogo

Kaskazini ya Kenya yazidi kufunguka, maendeleo kote
Maendeleo gani wakati Kuna njaa
58b70800948c28257523257024deede5.jpg
 
Ldc tunamake more Dow how?Mnasema pale korogocho kuna hela right? Wauza pweza wa Tandale humake hadi 30$ net profit kwa siku. ...
Bona Nairobi has 6400 millionaire with 3.3m na dar has 1200millionaire with a population of4.5m ....nimeona mnamake 30dolar
 
Mbona umerudi kwa archives? Hizi tumeonyeshwa hapa mara mia tena tumezichoka. Kwani hakuna kipya Dar ya kuonyesha ulimwengu isipokuwa earial views za hizo three blue towers? show us simething new. Maybe estates, wide clean roads, shopping malls na kadhalika. variety is the spice of life, kumbuka
0a89d043e1774170d279d4980f211db2.jpg

sipangiwi cha kupost!
 
"Sio kama kwenu, ukienda Turkana, wajir and northern part, bado hakuna lami..." That statement above just shows how ignorant/misinformed you are about kenyan affairs. Unajifanya wajua wakati in the real sense hakuna unachijua. Unachosahau ni kwamba lapset inapitia kwa hizo counties ulizotaja ikienda Ethiopia na south sudan. lapset, among others are a few examples about how northern kenya is changing. A week ago, a docuentary aired on NTV about the changing face of northern Kenya in matters road network. Below is a link to a thread here on JF touching on road networks in northern Kenya. Jielimishe kidogo

Kaskazini ya Kenya yazidi kufunguka, maendeleo kote
Kama zinajengwa barabara huko northern Kenya basi ni sasa hivi, lakini kumbuka sababu moja wapo iliyosababisha Total waichague Tanzania ni pamoja na kwamba kaskazini mwa Kenya, barabara, umeme na maji havipo ukilinganisha na Tanzania, pamoja na insecurity, land price and others, kama mnajinga sasa hivi, ni hadi itakapokamilika, lakini kwa sasa hivi, Tanzania has many and longer roads with tarmac than Kenya, yaani huko wala husijisumbue, wenzako waliofika Bongo watakuambia huu ukweli, tena barabara zetu ni well mantained, hata ajali kutokea siku hizi sio kama kwenu
 
Kwani sababu ya nyinyi kuwa na njaa karne hii na kuwa na mtaa kama kibera ni kurogwa ama laana ya mungu???
mitaa duni ziko hata new york. Na hata hapo kwenu, the whole of Dar es salaam is a slum, save for the cbd ambayo mnashinda kuonyesha picha yake hapa.
 
Mbona umerudi kwa archives? Hizi tumeonyeshwa hapa mara mia tena tumezichoka. Kwani hakuna kipya Dar ya kuonyesha ulimwengu isipokuwa earial views za hizo three blue towers? show us simething new. Maybe estates, wide clean roads, shopping malls na kadhalika. variety is the spice of life, kumbuka
Hata wewe unaruhusiwa kurudia za nairobi,au haibadiliki yenyewe???
 
Yenu ingekuwa bora zaidi ingeshawatoa ldc. Sisi yetu bora ndo maana hatuko huko
Elimu ya kweli inamtoa mtu from primitive thinking mentality to modern way of thinking, kama umesoma lakini mnabaguana kutokana na makabila yenu, hamna tofauti na Tembo anavyobagua kuishi na simba, au nyani. Kiukweli ninyi bado ni very primitive people, sijui kama shule zenu zinasaidia lolote.
 
Mbona umerudi kwa archives? Hizi tumeonyeshwa hapa mara mia tena tumezichoka. Kwani hakuna kipya Dar ya kuonyesha ulimwengu isipokuwa earial views za hizo three blue towers? show us simething new. Maybe estates, wide clean roads, shopping malls na kadhalika. variety is the spice of life, kumbuka
Mkumbushe pia kwamba Nairobi ina slums nyingi sana, asiendelee kurudia Kibera tumeichoka, atuwekee slums zingine, zimejaa kibao Nairobi, why Kibera always?
 
mitaa duni ziko hata new york. Na hata hapo kwenu, the whole of Dar es salaam is a slum, save for the cbd ambayo mnashinda kuonyesha picha yake hapa.
Onyesha wewe hiyo mitaa michafu cbd unayoijua,au ni kuropoka tu??
 
Elimu ya kweli inamtoa mtu from primitive thinking mentality to modern way of thinking, kama umesoma lakini mnabaguana kutokana na makabila yenu, hamna tofauti na Tembo anavyobagua kuishi na simba, au nyani. Kiukweli ninyi bado ni very primitive people, sijui kama shule zenu zinasaidia lolote.
Sisi tunabagua kwenye lugha lakini nyinyi mnabagua kwenye rangi na maumbile ya mtu. Mbona hiyo elimu yenu "bora" hajawazuia kuwinda albino mithila ya swara? Wewe huoni kama hilo ni ubaguzi wa hali ya juu kushinda hata ukabila?
 
Bona Nairobi has 6400 millionaire with 3.3m na dar has 1200millionaire with a population of4.5m ....nimeona mnamake 30dolar
Ulitegemea 30$ ikufanye millionaire?
The point is mko na millionaire wengi lakin apo chini wengi juakali
 
Back
Top Bottom