Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Now what's the difference between this and what I stated earlier? It's clearly written "from the country's PORTS" which means it's more than one port. I clearly stated that the three ports of Dar, Mtwara and Tanga handled 15 million metric tons which is also written in the abovementioned link. Ni kizungu unakupiga chenga ama?
sasa ndio ninakwambia dar 2017 inaweza handle 19m tons na after expansion itahandle over 35m tons, mtwara port wamemaliza expansion so wananunua vifaa vipya vya port na itaweza kuhudumi southern circuit zikiwemo malawi, zambia and part of mozambique
 
We mpuuzi acha kutudanganya kwanza habari ya 2016 hicho ndo cha kwanza ..cha pili nakupa habar latest kutoka website hyo hyo Tz hata top 30 poorest hatupo..wacha kutuchafulia jina mpuuzi wewe
7fcc80dabe6dfbc97a6a6059c8f8df37.jpg

b57a623f95c8b508bbca80ef26f45255.jpg


RANKED: The 30 poorest countries in the world
Wanajua hatupo uko ndio mana wanakosa amani
 
chakula mbona tunanunua tu Brazil ama Uganda? muhimu ni kukuza uchumi....kujinasua toka kwa uLDC...maskini wa kutupwa
Uchumi gani mnaokuza unaoshindwa kuzalisha chakula?, kitu cha kwanza duniani binadamu anachohitaji ni kuwa na food security from within, hayo mengine unaweza kuagiza, kama huna uwezo wa kuagiza chakula chako, nchi haiwezi kuwa na sustainable development. Huu ndiyo uchumi unaokua?
Kenya Records Slowest Quarterly Growth since 2013
 
Kuna jamaa alidai anataka kucompare sijui mwanza na msa.........msa ina1000 millionaires na dar1200 millionaires na je mwanza INA ngapi
nilikuomba link official ya millionares hujaniletea mpaka leo naomba uniletee naisubiri😀😀😀😀
 
nani kakuambia huwa haji Kenya? ficha upumbavu wako wakati mwingine😀😀😀😀sio lazima udhibitishe kuwa wewe ni kilaza😀😀
Kuja kenya hata mimi naweza kuja,ila kufanya nini???

Sasa kama unataja mafanikio ya wakenya kupitia lupita kasababu lupita anakuja tu kenya,nani ni kilaza hapa?????
 

pole sana LDC dweller...chokoraa wa Nairobi anazungumza kiingreza bora kuliko wewe hapo mzee wa miaka 70😀😀😀

Sisi sio watumwa kama ninyi, hatuhitaji kiingereza chenu, ndiyo sababu mnalazimisha tuungane, sisi hatutaki mtatuambukiza njaa, kaeni huko huko na Kizungu chenu, na njaa yenu
 
Kuja kenya hata mimi naweza kuja,ila kufanya nini???

Sasa kama unataja mafanikio ya wakenya kupitia lupita kasababu lupita anakuja tu kenya,nani ni kilaza hapa?????
babake Lupita ni Governor wa Kisumu...Lupita yupo marekani kikazi kama vile Wanyama ako UK kikazi ila wao ni wakenya...vipi wewe?😀😀😀 ila Diamond yupo afrika kusini ametoroka uLDC😀
 
vipi lakini kuhusu waimbaji wanaoweza kutunga nyimbo kwa kiingereza? hamna variety...nyot mnaimba lugha moja...very boring
sasa hili ni povu ndugu maana niliona dalili toka mwanzo😀😀😀😀😀😀
 
babake Lupita ni Governor wa Kisumu...Lupita yupo marekani kikazi kama vile Wanyama ako UK kikazi ila wao ni wakenya...vipi wewe?😀😀😀 ila Diamond yupo afrika kusini ametoroka uLDC😀
Angalia akili za mkenya hizi
 
Back
Top Bottom