Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
lakini nilikuuliza kuhusu bombadier...yamewachiliwa kweli?LDC inawanyima usingizi wakenya...![]()
![]()
![]()
wasanii wapo sio tu lazima waw waimbaji...tuna Lupita Nyong;o, tuna wachezaji soka wengi kama Wanyama...pia wale ni wasanii...we pimbi nini? 😀😀😀
nilijua utakuja na lupita binti anaishi marekani huko unaita ni mkenya,no wonder hata obama ni miongoni mwa wakenya waliofanikiwa.wajitoe kwa hii list kwanza...LDC dwellers
The 25 poorest countries in the world
We mpuuzi acha kutudanganya kwanza habari ya 2016 hicho ndo cha kwanza ..cha pili nakupa habar latest kutoka website hyo hyo Tz hata top 30 poorest hatupo..wacha kutuchafulia jina mpuuzi wewe
![]()
![]()
RANKED: The 30 poorest countries in the world
Kwanza tunamshangaa kuhangaika kujifunza kiingereza, hiyo awachie nchi zenye slavery mentality kama Kenya, ninyi mnavyowanyenyekea wazungu na kuwalamba miguu yao, ndiyo sababu kaka zenu wanaolewa kwa wingi huko USAushamba ndio mingi...ndio maana the best english speakers wenu ni akina diamond....jamaa hawez hata sentensi moja...sijui mnafunzwa nini nyie bongolala😀😀😀
sasa lupita ni Mmarekani???😀😀😀wewe ni bongolala tu😀😀😀![]()
![]()
nilijua utakuja na lupita binti anaishi marekani huko unaita ni mkenya,no wonder hata obama ni miongoni mwa wakenya waliofanikiwa.
Tunazungumzia self made,usituletee waliohongwa na vibabu vizungu.Akothe is 10 times richer than diamond
Anaishi wapi shangazi??sasa lupita ni Mmarekani???😀😀😀wewe ni bongolala tu😀😀😀
anaishi Manzese😀😀😀 kwa hiyo nikiishi Germany ina maana mimi mjerumani...😀😀😀😀 rudi kaitishe karo ya shule ndugu😀😀😀waliku conAnaishi wapi shangazi??
si ajab ndugu....legacy ni gari la 1970 siwez nikakulaumu ukiiendsha jinsi ulivyo LDC dweller😀😀😀
Huyo ni mtu ambaye lugha yake ya Taifa ni kiswahili, lakini anashabikia kiingereza, Kenya hawana uwezo wa kufikiria, ndiyo sababu uchumi wao unazidi kushuka kila siku, huku wakishabikia kuzunguma kizungu, stupid.some of your music artistes speak good english than granddaughters of queen elizabeth.
cha ajabu,event organizers wenyu wanawatumia kama curtain raisers kwenye matamasha yenyu ambayo mtz amepangwa ku-perform kwa lugha ya kiswahili.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
The fact remains that akothe is the richest musician in EATunazungumzia self made,usituletee waliohongwa na vibabu vizungu.
Kwani unaujua utajiri wa klyne???ni msanii wa bongoflavour kitambo tu.
anaishi Manzese😀😀😀 kwa hiyo nikiishi Germany ina maana mimi mjerumani...😀😀😀😀 rudi kaitishe karo ya shule ndugu😀😀😀waliku con
sasa wewe panya,mtu yuko us utaorodhesha faida kwake wakati hata chupi yake hanunulii kwenu????au huwa mnakwenda kumkatishia kodi kwa asili ya kiwa mkenya???uuze hio mkebe bro lakini...![]()
![]()
![]()
Kua mpinzani kazi
nani kakuambia huwa haji Kenya? ficha upumbavu wako wakati mwingine😀😀😀😀sio lazima udhibitishe kuwa wewe ni kilaza😀😀![]()
![]()
![]()
![]()
sasa wewe panya,mtu yuko us utaorodhesha faida kwake wakati hata chupi yake hanunulii kwenu????au huwa mnakwenda kumkatishia kodi kwa asili ya kiwa mkenya???