ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
diamond anatoka kwa juhudi zake ndio maana anamiliki nyumba mpaka nairobi, SA na dar ndio usiseme ananyumba kibao za maana, hali kadhalika Alikiba ananyumba nyingi dar na ananyumba uingereza so mafanikio ya wasanii wetu yanatokana na juhudi zao.asante kilaza wa Dar😀😀
music industry in kenya ilishakufa kitambo sana😀😀