Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
mwambie akuletee picha za tanzanian airports...atatokomea ktk kaburi la sahau...hutamwona tena😀😀😀😀Wee zidi kuota lkn kwenyu hamna ki2....iyo dar .sijui capital ama ..
Sodoma....kama uyu rubani wa ile helicopter


ray c usimfananishe na mademu zenu washamba wa hapo kenya,ameishi japan miaka si chini ya 3,kama huo upuuzi wenu wa SGR mnaona ni mpya sana,ukwende ukatafiti japani umepatikana mwaka wa ngapi sasa.