kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
UJUMBE MAALUM WA KADODA11 KWENDA KWA WAKENYA WOTE WA JF NA WALIO NJE YA JF.
mwaka 2017 umeisha,sasa ni rasmi tupo mwaka 2018.
nikiwa kama kijana mzalendo wa nchi bora kabisa hapa EA,nchi iitwayo Tanzania,nahaidi kuendelea kuonyesha mapenzi na uzalendo kwa Taifa langu.
pia nahaidi kuendeleza mapambano ya kimjadala dhidi wakenya.
kama nilivyofanya mwaka jana katika kipindi cha mwezi january na april,
pia mwaka huu,kwa muda wa miezi minne mfufulizo,nitajikita katika mtandao wa twitter nikiangazia tweets mbalimbali za wakenya ambazo zinaonyesha vilio na malalamiko yao mbalimbali thidi ya taifa lao.
nitaleta screenshot zote za namna hiyo hapa katika thread.
nitahakikisha "naliamsha dude" mpaka wakenya wapatwe na mtetemeko wa uoga kila wanapokutana na ID ya kadoda11.
round hii nitahakisha nawagonga sehemu nyeti ili wapatwe na maumivu yasiyo na mfano.
twende kazi....hapa kazi tu.
thread na iendelee.