ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
uchumi ilikufa, nakumat ishakufaNAKUMATT on its knees![]()
uchumi ilikufa, nakumat ishakufaNAKUMATT on its knees![]()
Acha kuandika vitu vya kitaalamu kwa hisia zako.I am not an expert on bullet trains but the little knowledge I have tells me that a bullet train CANNOT run or a standard gauge railway (sgr). Secondly, the energy requirements is too high for tanzania to afford (unless mufunge viwanda zenu zote na kuelekeza umeme yenu yote kwa bullet train). Ndo maana nazidi kuwaambia kwamba hata kule ulaya, ni nchi chache mno ndo ziko na bullet trains. Hapo sijataja the technology that goes into running it ambayo najua hamna
Tena hii leo leo hiii ....kweli jiran uchumi wa kati aseeee na biashara zake znaenda vzur kweliii...hongera wakenya hahahahaNAKUMATT on its knees![]()
lini utaacha kumdhalilisha huyo punda wa kike apo kwa avi yakoAcha kuandika vitu vya kitaalamu kwa hisia zako.
Kama mlikurupuka nyinyi sio kila mtu atakurupuka,inamaana kama ilikuwa inahitaji energ kubwa mkaona(cha kufia nini) wacha tulete la mwaka 60s tu.
Subiri kuona treni ya kasi ikija kufanya kazi tz.
Ingekua bongo,wangesema mazingira ya biashara mabaya.Tena hii leo leo hiii ....kweli jiran uchumi wa kati aseeee na biashara zake znaenda vzur kweliii...hongera wakenya hahahaha
dar to dodoma 722 km cash deal😀😀😀😀Wow! Bullet Train. From Dar to Morogoro.
tebu walalas munieleze kitu gani iko pale Morogoro cha maana....
A place with no strategic interest at all what-so-ever.
You can't compare Dar/Morogoro to Msa/Nairobi at all.
Kenya wanashuka but hawaamini ka wanashuka mixer na wanadanganywa na data za kupika siku wakija shtuka wataona vumbi tu tz waleeeeeeeeeIngekua bongo,wangesema mazingira ya biashara mabaya.
umeona q400 ishaondoka inakuja magufuli chuma😀Check your minimum curve radius before frothing at your mouth displaying in despicable Ignorance.
When designing a new high-speed line, the minimum radius of the curves will be determined by the desired line-speed. In order to minimise rail wear, and provide a smooth and comfortable ride for the passengers, the outer rail of the pair of tracks is usually elevated above the level of the inside rail. This is known as “cant”, and in Europe it is usually measured in degrees, i.e. the angle of elevation of one rail above the other. In US terminology, “cant” is known as “cross level” and it is measured as a height difference, rather than an angle.
Most high-speed trains run on conventional tracks similar to conventional gauge systems, but built with stronger material. The train on such a track is likely to have two synchronised engines (power cars), one at either end. Most receive power from roof-mounted pantographs and overhead supply lines. A large part of route alignment is kept straight to support high speed. Although in most countries these trains operate on dedicated tracks, many can also run on conventional tracks at reduced speeds.
Nakumatt ikikufa NAIVAS na Tuskys inagrow ama inachukua space ya nakumatt ....hakuna ku shuka uchumi unaendelea kugrowKenya wanashuka but hawaamini ka wanashuka mixer na wanadanganywa na data za kupika siku wakija shtuka wataona vumbi tu tz waleeeeeeeee
subiri ijengwe iishe. ata wanaija walijenga yao kwa kupitia shida nyingi sana na hio gdp yao. na still bado walikopa. waethiopia nao bado wamekwama. it is only in Kenya where the railway was built in a record timedar to dodoma 722 km cash deal😀😀😀😀
Yes, most of them run on SGR, but must be with continuous welding, wewe ulidhani yanapita kwenye meter gauge?Kwa hivyo that's all you know about bullet trains? hahaha....kweli kuwa mbongolala ni garama sana. Hebu nikuulize swali rahisi: Can a bullet train run on an sgr? Nijibu hilo swali kabla hatujaendelea

haina maana kua hatutakopa ila phas 1 and two tushatoa cash 3 and 4 mturuki kakubali kutoa soft loan 400km na magufuli hataki mchezo kwasababu katoa pesa cash so anahitaji muda uzingatiwesubiri ijengwe iishe. ata wanaija walijenga yao kwa kupitia shida nyingi sana na hio gdp yao. na still bado walikopa. waethiopia nao bado wamekwama. it is only in Kenya where the railway was built in a record time
alaf kitu kibaya walichobugi wakenya yao wameweka bolt joint haha ila mchina dah😀😀Yes, most of them run on SGR, but must be with continuous welding, wewe ulidhani yanapita kwenye meter gauge?![]()
bullet train?haina maana kua hatutakopa ila phas 1 and two tushatoa cash 3 and 4 mturuki kakubali kutoa soft loan 400km na magufuli hataki mchezo kwasababu katoa pesa cash so anahitaji muda uzingatiwe
Kwanini unajiaibisha?, tayari Moro- Dodoma phase imeshaanza kujengwa, zitapishana kukamilika kwa miezi mitatu pekee, wakati trains za Dar-Moro zinaanza kazi kama majaribia, after three months zinaunganisha hadi DodomaWow! Bullet Train. From Dar to Morogoro.
tebu walalas munieleze kitu gani iko pale Morogoro cha maana....
A place with no strategic interest at all what-so-ever.
You can't compare Dar/Morogoro to Msa/Nairobi at all.
total ni ngapi?Here we go neighborscargo trains 14![]()
Passenger train 15
it is only in Kenya the price was highly inflated, to cover up, they did it faster fastersubiri ijengwe iishe. ata wanaija walijenga yao kwa kupitia shida nyingi sana na hio gdp yao. na still bado walikopa. waethiopia nao bado wamekwama. it is only in Kenya where the railway was built in a record time
