Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakumatt ikikufa NAIVAS na Tuskys inagrow ama inachukua space ya nakumatt ....hakuna ku shuka uchumi unaendelea kugrow
Unagrow wakati mnazidi poteza walipa kodi au hiyo kodi walokuwa wanalipa hao nakumatti wataongezewa hao unaowataja hapo ????kuwaga na akili mnapoteza kodi hao wanavyofilisika usibishe asee utaonekana huna akili sasa
 
1514891695212-1703128527.jpg
 
Wow! Bullet Train. From Dar to Morogoro.
tebu walalas munieleze kitu gani iko pale Morogoro cha maana....
A place with no strategic interest at all what-so-ever.
You can't compare Dar/Morogoro to Msa/Nairobi at all.
Morogoro ni kiungo muhimu Tz inakutanisha, Dodoma, Iringa, Dar na mikoa ya Tanga, Arusha kupitia Chalinze. Kuna viwanda vingi pale Moro bila kusahau mzinga.
 
Morogoro ni kiungo muhimu Tz inakutanisha, Dodoma, Iringa, Dar na mikoa ya Tanga, Arusha kupitia Chalinze. Kuna viwanda vingi pale Moro bila kusahau mzinga.
Atajulia wapi ka kashindwa kujua kua moro ni junction muhim
 
kuku na mwewe wamefikaje hapa?? skiza, hatuko hapa kwa mipasho bro
tatizo lako unajisahau sana nilifkiri utafurahia kuona tanzania inafanya vzr kwenye sector mbali mbali kumbe ndio tunaombeana mabaya😀😀😀😀
 
tatizo lako unajisahau sana nilifkiri utafurahia kuona tanzania inafanya vzr kwenye sector mbali mbali kumbe ndio tunaombeana mabaya😀😀😀😀
kwa taarifa yako. Tanzania ni nchi maskini sana tena sana tena sana. kama hauamini... google 30most poorest nations in the world. so ubavu huo hamuna hata mutumie mchawi gani
 
Back
Top Bottom