IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,284
- 9,448
😅😅 shida yako ni aidha haujui ama una ignore history ya kale..Kufeli kwa vita Israel haimaanishi kuwa Israel ingefutika.
Vivyo hivyo kuwepo kwa Israel haimaanishi kuwa Israel ilishinda na ina nguvu.
Israel uwepo wake ni kwamba USA na EU wanaiokoa kila inapoelekea kushindwa na ndio wanailea hiyo nchi.
Mfano mzuri vita ya June na Iran.
Nasisitiza tena,kama USA, GERMANY, FRANCE na UK wasingeingilia kati na kuitishia zaidi Iran kwa economic sanctions leo hii tungekua tunaongea mengine. Maana Iran ilijipanga kupiga hypersonic missile kwenye nuclear facilities za Israel.
Usikaze fuvu.
Israel ni colonizer kwasababu anakalia ardhi isiyo yake kimabavu. Palestine ilikuwepo millennial back na ilipata uhuru toka kwa Muingereza. Aya waweza kutwambia Israel ilikuwa wapi kabla ya 1948!?
1. Hata kabla ya the west kuanza kuipa support Israel, walikuwa wanapigana vita na walishinda.
2. Jina Palestine yenyewe ni jina iliotokana na the ancient philistines and way later the greek renamed the region Syria Philistine.. the letter ‘P’ haipatikani katika Arabic alphabet - the only way arabs settled in palestine is because of the Islamic conquest- they moved around spreading islam.
but then Jews existed way before Islam started.
3. English is the most spoken language in the world by non natives. followed by spanish, french, Arabic is the 4th most spoken language by non natives on earth. We both know how those languages spread. Please Remind me How many people speak Hebrew again?
Logically speaking who is the real colonizer here