Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,222
- 33,434
A project bigger than GTC to be built in this land.
View: https://x.com/i/status/2002036534757712291
View: https://x.com/i/status/2002036534757712291
bro ni vita gani Israel imepoteza since 1948?😅😅 since they gained independence and since then it’s been on a cruise, and every time they won a war and expanded its territories within Israel and outside! The 6 day war - Israel captured the West bank, the gaza strip na sinai peninsula..Wacha uongo wewe. Vita ipi Israel alishinda dhidi ya waarabu!?
Unajisahaulisha kuwa vita zote alizopigana Israel nyuma yake kuna wanajeshi wa UK na USA.
Hata hiyo camp david Accord ilisainiwa kwasababu waarabu walishika mpini na Israel alishika makali.
Kutokana na vita ya Yom Kippur ya 1973 wanajeshi zaidi ya 30k wa Israel walikua mateka ndani ya Misri. Sinai peninsula ilirejeshwa makazi yake makuu makazi yaliyobakia yalikua yale ya mpakani. Utasemaje Israel alishinda? Angekataa kusaini mkataba wa Camp david askari wake wote elfu thelathini wangechinjwa Misri.
Achana na hiyo vita,embu kaisome operation bint jubeir ya 2006 ambayo Israel alipigwa na kuburuzwa kuanzia Bint jubeir hadi Shebah farms na kundi la Hizbollah.
Achilia hivyo,rejelea June war dhidi ya Iran mwaka huu Netanyahu alivyoomba msaada USA.
A project bigger than GTC to be built in this land.
View: https://x.com/i/status/2002036534757712291
Usitake kudanganya watu jamaa.bro ni vita gani Israel imepoteza since 1948?😅😅 since they gained independence and since then it’s been on a cruise, and every time they won a war and expanded its territories within Israel and outside! The 6 day war - Israel captured the West bank, the gaza strip na sinai peninsula..
Na hivo unalia wamepata support, it’s just recently that the US has openly supported them with weaponry. It used to be only diplomatic support and maybe intelligence.. and all along they have been fighting Syria, Egypt, Jordan, Iraq, Lebanon etc.
hakuna mahali inasema ati Israel signed the camp David accord because of prisoners of war only, in any case , Israel had captured a significant number of syrian and egyptian soldiers also, I mean they had won the war! Btw the Yom Kippur war was a surprise attack by egypt and syria and they still lost it 😅😅
Unaandika kitabu boss - unasema kuwa Israel haijawin vita yoyote.The fact that the Nation of Israel exists proves my point, If Israel lost any war hakungekuwa na Israel!! So Israel has never lost a major war..Usitake kudanganya watu jamaa.
Makala tunazisoma daily tena za credible source. Israel ilipoteza askari wengi sana kwenye Yom Kippur war upande wa Sinai. Na 80% ya Sinai ilirejeshwa Egypt. Israel aliwekeza nguvu Gollan heights dhidi ya Syria ili asiipoteze Golan heights. Nadhani unajisahaulisha kuwa Golda Meir alijihuzuru kwasababu ya kukwepa aibu waliyoipata Egypt. Israel ilipoteza askari wengi kuliko yeyote katika hiyo vita.
Tukirejea kwa six days war ile haikuwa cross fire confrontation bali ilikua ni uvamizi wa ghafla wa Israel kwa kulipua ndege vita za Egypt 1967 February 5-10 kama sijakosea ili kuzuia Egypt isipate nguvu ya Airforce.
USA huisaidia Israel kisilaha na kwa infantry,hata hii vita ya Gaza iliyoanza 2023 wanajeshi wa US navy waliingia vitani na wapo waliopoteza maisha ukanda wa Gaza.
Vita ya Lebanon -Israel war 2006 Israel alishindwa,alipigwa na majeshi yake kuondolewa kusini mwa Lebanon kuanzia Bint Jubeir hadi Shebah farms.
Kaisome operation bint jubeir uijue vizuri,Vijana wa Hassan Nasrallah waliua makamanda wa juu 78 wa IDF na kuwalazimisha IDF wakimbie Bint Jubeir. Israel ndio iliomba USA aingilie kati kufanya negotiations ili vita iishe.
Iran-Israel war 2025 June,Israel alishindwa vita kila mtu aliona Netanyahu akihaha na kuitaka EU pamoja na USA waingilie kati kuivamia Iran ili iache mashambulizi kuelekea Israel.
Waliofanikisha usitishwaji vita ni France, Germany na UK walipomuita Abbas Aragch Geneva ili kumshawishi asitishe retaliation dhidi ya Israel.
Kiufupi Israel bila USA na EU ni dhaifu na ishaonesha udhaifu mara kibao.
Kama isingekua EU kuingilia kati Iran mwaka huu alikua anaifuta Israel kwenye uso wa dunia.
Add the modern rail connection to Talanta and the scale goes up .
mama anaendeleza longolongo za convention center Arusha!
View: https://x.com/TimesTanzania/status/1678452225201373184
View: https://youtu.be/GRrdnFNSCb8?si=QLuP9riYeEfKFXww
Utafanya majirani to file a protest petition to the UN ..🤣🤣🤣
Kufeli kwa vita Israel haimaanishi kuwa Israel ingefutika.Unaandika kitabu boss - unasema kuwa Israel haijawin vita yoyote.The fact that the Nation of Israel exists proves my point, If Israel lost any war hakungekuwa na Israel!! So Israel has never lost a major war..
Alafu mambo ya ku blame israel kuwa the colonizers ni upuzi. Native israelis sio waarabu, ni Jewish.
Ukunduni mna F16?Add same amount of cash ( in dollars)for a 6 units of KAI stealth fighters. Kenya could become the first African country to pocess Stealth fighters ( 5th Gen). A nice add to the F-16 collection. KAI is a US backed South Korean made new fighter. South Korea has allowed few exports and Kenya is on their radar . Imagine these two types together . Ruto means business with his Singapore talk. He really wanna cement his legacy… KAF officials already met with Koreans.
View attachment 3517935View attachment 3517936
KAI and F-16