Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka, wengine tunajua vitu kiundani zaidi. Usiniite mburukenge kama hujui uliza ufafanuliwe. Waliomuua Magufuli ni hao hao wakatoliki baada ya kwenda kinyume nao. Kwa sababu ya security ya Waislam wameshindwa kumpata Samia.
Acha kuongea rusbish usijiaibishe hapa. We all saw what transpired before during and after election.
 
Unakataa bila sababu
Its a known thing in Kenya, we have all East Africans-Burundians are known for selling chai and hawking shoes, njugu etc on the street. Rwandese and Congolese are known for shaving in barber shops and doing nails at salons. Ugandans are known to be good house helps and Tanzanians are known to beg on the streets.
Ethiopians,Eritreans and somalis do more of trade businesses

View: https://x.com/honmosiria/status/1998981228997853310?s=46

Hana sura ya TZ huyo ni ndugu yenu
 
Wakatoliki mnajipa umuhimu ambao hamna. Badilikeni dunia imebadilika.
Badala mjibu ama kupinga hoja, nyie mnajadili watu.
Pinga ama jibu hoja kama una hoja na sio kujadili watu.

Eti ukoloni.
Kuna ukoloni wa Kilofa kama ule wa kujidhalilisha kwa kuwalamba miguu westerners?

Magufuli, akili kubwa, was anti-imperialist tangu day one mpaka anakufa na hajawahi kanyaga Europe or America na alishtukia COVID kuwa ni scam.

She did all those nonsense, kukopa hovyo, kuwa validated na kuitwa reformist.
Leo mnawaita Wakoloni. Clearly, hana uwezo mzuri wa kiakili na hajui nini anafanya zaidi ya kutapatapa.🚮

1765534290932.png
 
View attachment 3514639
Hakuna uhusiano. Baada ya wakatoliki kumuua Magufuli wakadhani Samia yupo upande wao

1765534781409.png
 
Hakuna uhusiano. Baada ya wakatoliki kumuua Magufuli wakadhani Samia yupo upande wao

View attachment 3514642

Mbona hujibu hoja? Vyote naongea ushahidi wake upo mpaka video clip.
Si ni wewe ulidai "tunaridishwa kwenye ukoloni"?

Uhalisia gani unazungumza hapa?
Sio hawahawa westerners ndio wanapanga kuweka sanctions?

Tupe ushahidi wa unachozungumza, niombe ushahidi wa ninachosema.

1. Mwanzo Samia alidai anapingwa kwa sababu ya "uanamke" jinsia yake.
2. Siku anamchana Ndugai kuwa mikopo inaidhinishwa nyumbani kwake "bungeni". Alidai ni huu "urais".
3. Sasa hivi anacheza karata ya dini na Uzanzibari.
1765535059155.png
 
View attachment 3514643
Kaa uandike vizuri kaka. Na kabla ya kuandika vizuri soma hii hapa:

1765535971532.png

Siri mambo yote yanajulikana kaka. Labda wewe tu hujui. Nitakuwa nakuwekea kimoja kimoja hapa. Kisha utaunganisha dots. Umeweka picha ya barakoa nimekuwekea connection umeshindwa decode. Shauri yako.
 
Mimi nashindwa kuelewa watu wanakosa utu! Mimi ningependa kama dini zote ziikemea udhalimuwa utekaji, uchaguzi batioli na ukandamizi kama Wakatoliki!
Watu wanaogopa kufa au kuziletea familia zao mazila, ni wachache sana dunia hii wenye uwezo wa kusimamia wanachokiamini, mbele ya upanga.
 
Nilimu ignore kwa wiki kadhaa, baadae nikamu unignore nilidhani atakuwa amepunguza comments zake za namna hii. I guess I'm wrong
Brother jost ignore. Huongezi wala kupunguza chochote katika maisha yangu. Kila mtu yupo na uhuru wa kutoa maoni. Kama wewe maoni yako unaona bora kuliko ya wengine so upo na matatizo sehemu fulani. Unataka watu wote humu tufikirie kitu kimoja?? Kwikwikwikwikwi
 
Kaa uandike vizuri kaka. Na kabla ya kuandika vizuri soma hii hapa:

View attachment 3514650
Wewe vipi?

Si tulikwambia kitambo na niliweka hata post yangu ya twitter hapa kuwa Maria na wengine wanalipwa Fird Foundation tangu kipindi cha Magufuli.
Ni dhahiri ulikuwa na ufaulu mdogo sana darasani, kwani memory span yako ni ndogo sana. Umerudi na Ford Foundation tena.

Nilikujibu na ushahidi hapa: https://www.jamiiforums.com

Sisi tunajua hayo ya Ford Foundation way before 2020

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1376824523526377478
 
Brother jost ignore. Huongezi wala kupunguza chochote katika maisha yangu. Kila mtu yupo na uhuru wa kutoa maoni. Kama wewe maoni yako unaona bora kuliko ya wengine so upo na matatizo sehemu fulani. Unataka watu wote humu tufikirie kitu kimoja?? Kwikwikwikwikwi
Nilikuwa namjibu mtu mwingine. Nahisi umevamia mada
 
Kama ungekuwa kwenye mfumo ungetambua ni swala la muda tu, mfupi tena, Maza anarudi mavumbini kuungana na ancestors wake.
Unaota wewe. Mtapukutika Katoliki wote kama upupu. Jaribuni muone cha moto Kwikwikwikwikwi Kwanza wakatoliki wenyewe hamna umoja kama walivyo na umoja waislam. Matajiri wote Tanzania ni waislam. Nyie wakatoliki mnafanya kazi za wazungu. Pesa zote zinachukuliwa na wazungu. Wenzenu waislam wanawekeza kwenye biashara, nyie mnawekeza kwenye demokrasia kwa niaba ya wazungu. Kwikwikwikwi
 
Back
Top Bottom