Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
Yani basi tu kuna watu wameshakubali kufunga akili zao, kwamba Rais ni Mungu mtu kwa hiyo hakoseiMimi nashindwa kuelewa watu wanakosa utu! Mimi ningependa kama dini zote ziikemea udhalimuwa utekaji, uchaguzi batioli na ukandamizi kama Wakatoliki!
Duuh... We jamaaKila mtu duniani anajua wauaji wakuu na watekaji ni wakatoliki. Waliokuwa wanateka watu ni wakatoliki.
Kama tumeamua kusema ukweli, wacha ukweli usemwe. Magufuli aliuliwa na wakatoliki baada ya kukataa maelekezo yao.Duuh... We jamaa
Tunaona Mende ameshaandaliwa sehemu tayari 😁
Acha kuongea rusbish usijiaibishe hapa. We all saw what transpired before during and after election.Kaka, wengine tunajua vitu kiundani zaidi. Usiniite mburukenge kama hujui uliza ufafanuliwe. Waliomuua Magufuli ni hao hao wakatoliki baada ya kwenda kinyume nao. Kwa sababu ya security ya Waislam wameshindwa kumpata Samia.
Sawa sawaaaKama tumeamua kusema ukweli, wacha ukweli usemwe. Magufuli aliuliwa na wakatoliki baada ya kukataa maelekezo yao.
Pole kwa maumivuTunaona Mende ameshaabdakiwa sehemu tayari 😁
Unakataa bila sababu
Its a known thing in Kenya, we have all East Africans-Burundians are known for selling chai and hawking shoes, njugu etc on the street. Rwandese and Congolese are known for shaving in barber shops and doing nails at salons. Ugandans are known to be good house helps and Tanzanians are known to beg on the streets.
Ethiopians,Eritreans and somalis do more of trade businesses
View: https://x.com/honmosiria/status/1998981228997853310?s=46
Hivi hamjaona sehemu ya ignore au mnapenda kubishana nae! 😂😂😂Duuh... We jamaa
Badala mjibu ama kupinga hoja, nyie mnajadili watu.Wakatoliki mnajipa umuhimu ambao hamna. Badilikeni dunia imebadilika.
Hakuna uhusiano. Baada ya wakatoliki kumuua Magufuli wakadhani Samia yupo upande waoBadala mjibu ama kupinga hoja, nyie mnajadili watu.
Pinga ama jibu hoja kama una hoja na sio kujadili watu.
Eti ukoloni.
Kuna ukoloni wa Kilofa kama ule wa kujidhalilisha kwa kuwalamba miguu westerners?
Magufuli, akili kubwa, was anti-imperialist tangu day one mpaka anakufa na hajawahi kanyaga Europe or America na alishtukia COVID kuwa ni scam.
She did all those nonsense, kukopa hovyo, kuwa validated na kuitwa reformist.
Leo mnawaita Wakoloni. Clearly, hana uwezo mzuri wa kiakili na hajui nini anafanya zaidi ya kutapatapa.🚮
View attachment 3514639
Hakuna uhusiano. Baada ya wakatoliki kumuua Magufuli wakadhani Samia yupo upande wao
View attachment 3514642
Kama ungekuwa kwenye mfumo ungetambua ni swala la muda tu, mfupi tena, Maza anarudi mavumbini kuungana na ancestors wake.Kama tumeamua kusema ukweli, wacha ukweli usemwe. Magufuli aliuliwa na wakatoliki baada ya kukataa maelekezo yao.
Kaa uandike vizuri kaka. Na kabla ya kuandika vizuri soma hii hapa:Mbona hujibu hoja? Vyote naongea ushahidi wake upo mpaka video clip.
Si ni wewe ulidai "tunaridishwa kwenye ukoloni"?
Uhalisia gani unazungumza hapa?
Sio hawahawa westerners ndio wanapanga kuweka sanctions?
Tupe ushahidi wa unachozungumza, niombe ushahidi wa ninachosema.
1. Mwanzo Samia alidai anapingwa kwa sababu ya "uanamke" jinsia yake.
2. Siku anamchana Ndugai kuwa mikopo inaidhinishwa nyumbani kwake "bungeni". Alidai ni huu "urais".
3. Sasa hivi anacheza karata ya dini na Uzanzibari.
View attachment 3514643
Nilimu ignore kwa wiki kadhaa, baadae nikamu unignore nilidhani atakuwa amepunguza comments zake za namna hii. I guess I was wrongHivi hamjaona sehemu ya ignore au mnapenda kubishana nae! 😂😂😂
Watu wanaogopa kufa au kuziletea familia zao mazila, ni wachache sana dunia hii wenye uwezo wa kusimamia wanachokiamini, mbele ya upanga.Mimi nashindwa kuelewa watu wanakosa utu! Mimi ningependa kama dini zote ziikemea udhalimuwa utekaji, uchaguzi batioli na ukandamizi kama Wakatoliki!
Brother jost ignore. Huongezi wala kupunguza chochote katika maisha yangu. Kila mtu yupo na uhuru wa kutoa maoni. Kama wewe maoni yako unaona bora kuliko ya wengine so upo na matatizo sehemu fulani. Unataka watu wote humu tufikirie kitu kimoja?? KwikwikwikwikwiNilimu ignore kwa wiki kadhaa, baadae nikamu unignore nilidhani atakuwa amepunguza comments zake za namna hii. I guess I'm wrong
Wewe vipi?