Hapana ninachokiona ni wahuni wanatakatisha madaraka kupitia dini
Hiyo ni kweli ila nachoongelea mimi, ni strategy siyo tactic.
Chini chini tactic inaonekana wanachochea udini ila unaweza kuta na wao wanafuata script waliyopewa na ma globalist ili tumalizane, wapate Urani, lithium, gesi, madini adimu, makaa ya mawe n.k.
Fikiria hili, kulikuwa na sababu gani ya Samia kuwa karibu na Blair? Atashauri nini kwa faida ya Watanzania?
Kulikuwa na sababu gani ya kuanza kutumia barakoa, na kuleta chanjo baada ya Magu kufariki, wakati watu waliishi vizuri zaidi ya mwaka bila barakoa?
Kilikuwa na sababu gani ya kuwaminya wananchi na tozo, huku watawala, wakiendelea kununua magari ya V8? Huoni ni counter intuitive?
Ukiangalia kwa makini, hizi ni time tested script za ma globalist, kutufanya tuendelee kuwa maskini wategenezi na nchi kutokutawalika. Na ukiona mtawala anatekeleza haya, ujue ni kibaraka.
CCM mtandao ni vibaraka ma globalist. Hata wanapojidai kumshtaki Samia ICC, ni wanafiki.
Pamoja na yote yaliyofanyika, kama utekaji, mauaji, na katiba kuvunjwa, utaona hawatumii msuli mkubwa kama walioutumia kumminya Magu. Hii kwangu ni signal tosha kuwa tuna economic hitman Tanzania.