Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
Nimekuja kukumbushia tu kuhusu hili eneo😂 Anayekumbuka maneno ya Mkundustan flani amfikishie ujumbe.
“LAND INFORMATION IS DYNAMIC OVER TIME”
Atukumbushe na ile picha yake inayompa amani😂
View: https://www.instagram.com/reel/DQMiMkviCt9/?igsh=MXAycTZyZmZoZ3Q4aA==
View attachment 3512188
Umeangalia hio video? Hayo mabasi ni full ac yanapita kila dakika 3 na yanatoka Kivukoni/Gerezani hadi Mbagala . Mbagala uswazi wana usafiri bora kuliko Kenya nzima.Naona umekuja kujifariji baada ya wenzako kukimbia huu uzi na kupotelea mbali
Any links for these?2026 will be the beginning of a game changer for Nairobi . Addis Ababa has woken up Nairobi .. Noway Nairobi will relinquish her position as the regional skyline giant… soon to grace upperhill .. 75 and 80 floors respectively.. goodbye Dar !..😁
View attachment 3511813View attachment 3511814
Nimekuja kukumbushia tu kuhusu hili eneo😂 Anayekumbuka maneno ya Mkundustan flani amfikishie ujumbe.
“LAND INFORMATION IS DYNAMIC OVER TIME”
Atukumbushe na ile picha yake inayompa amani😂
View: https://www.instagram.com/reel/DQMiMkviCt9/?igsh=MXAycTZyZmZoZ3Q4aA==
View attachment 3512188
Sawa mtoto wa mama SHUmeangalia hio video? Hayo mabasi ni full ac yanapita kila dakika 3 na yanatoka Kivukoni/Gerezani hadi Mbagala . Mbagala uswazi wana usafiri bora kuliko Kenya nzima.
Kwisha habari yenu sasa hivi wakenya wanapumulia mpira tu. Mchezo umeisha mmebakia kuwa wapiga kelele kwenye social media tu.Sawa mtoto wa mama SH
World Winners 2025: Tanzania Wins 4, Kenya 0 - World Travel Awards 2025 (Wakenya wako busy kuichafua Tanzania)Sawa mtoto wa mama SH