Sisi Makafiri na mimi kama x-missionary huwa tunajifunza upendo, umoja na uwajibikaji tu kwa wengine.
Ndio maana hatuna "epithet" ama majina ya kejeli ama ya kibaguzi dhidi ya wanaadam wengine tulio tofautiana kwa imani.
Ukoloni upi?
Magufuli alikataa lockdown, chanjo na barakoa na mama yenu kwenye speech yake ya kwanza kabisa kama rais alisema,
"Tanzania sio kisiwa ni lazima twende na wengine."
Nakuingiza chanjo na kulazimisha watu wavae barakoa. We all know, COVID ni huge scam!
Pia alisema kuhusu mgogoro wa Barrick Gold, akitoa maelekezo,
"Sitaki kuona mkipigishana vikumbo huko, sisi ndio wenye uhutaji"
Ntaleta video clip kama ushahidi wa hili utaitajika.
Ukoloni upi unaongelea wewe zaidi ya kuwapa Barrick msamaha na kudai sisi ndio wenye uhitaji?
Ukoloni upi unadai wewe zaidi ya kutuleta chanjo za sumu tayari zilikuwa zimesha pigwa marufuku Tanzania?