Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe vipi?

Si tulikwambia kitambo na niliweka hata post yangu ya twitter hapa kuwa Maria na wengine wanalipwa Fird Foundation tangu kipindi cha Magufuli.
Ni dhahiri ulikuwa na ufaulu mdogo sana darasani, kwani memory span yako ni ndogo sana. Umerudi na Ford Foundation tena.

Nilikujibu na ushahidi hapa: https://www.jamiiforums.com

Sisi tunajua hayo ya Ford Foundation way before 2020

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1376824523526377478

So what? Ford Foundation ni taasisi ya wakatoliki, kila mtu anajua hilo
 
Unaota wewe. Mtapukutika Katoliki wote kama upupu. Jaribuni muone cha moto Kwikwikwikwikwi Kwanza wakatoliki wenyewe hamna umoja kama walivyo na umoja waislam. Matajiri wote Tanzania ni waislam. Nyie wakatoliki mnafanya kazi za wazungu. Pesa zote zinachukuliwa na wazungu. Wenzenu waislam wanawekeza kwenye biashara, nyie mnawekeza kwenye demokrasia kwa niaba ya wazungu. Kwikwikwikwi
Matajiri wakubwa zaidi Tanzania wana asili ya Asia, mikoa yenye uislamu sana Tanzania ina umasikini wa kutisha, ikiongozwa na Kigoma
Watu weusi hapa Africa bila kujali dini wala kabila wengi wao ni masikini tu. Acha kujifurahisha mzee
 
Kaka, wengine tunajua vitu kiundani zaidi. Usiniite mburukenge kama hujui uliza ufafanuliwe. Waliomuua Magufuli ni hao hao wakatoliki baada ya kwenda kinyume nao. Kwa sababu ya security ya Waislam wameshindwa kumpata Samia.
Hii theory niliwahi ifikiria, kutokana na jinsi Magufuli alivyowasema mapadri pale St Peters, kutokumuamini Mungu na badala yake kuamini uongo wa WHO kwenye covid.

Hata hivyo inaniwia vigumu kuikubali hiyo 'scenario' kwasababu kabla ya hapo, kulitokea vifo vya ghafla, kama Mzee Mkapa na Kijazi watu waliokuwa karibu sana na Magufuli. Hawa wote vifo vyao ni kanisa Katoliki?

Hivi vifo vya ghafla imeendelea kwa ndugai na juzi tuu hapa kwa Jestina, hawa nao wanabifu gani na kanisa katoliki?
 
So what? Ford Foundation ni taasisi ya wakatoliki, kila mtu anajua hilo
Waweza kuidentify founder wa Ford Foundation?
Ford Foundation ni taasisi ya Marekani kwa ajili ya interest za Marekani.

Manowari za kivita zipo off coast ya Venezuela na wameteka oil tanker ya hiyo nchi. Venezuela ni wapagani, waanglican ama Walutheri?

As time goes by, unaonesha uwezo mdogo sana wa kiakili.
 
Hii theory niliwahi ifikiria, kutokana na jinsi Magufuli alivyowasema mapadri pale St Peters, kutokumuamini Mungu na kuamini sana uongo wa WHO.

Hata hivyo inaniwia vigumu kuikubali hiyo 'scenario' kwasababu kabla ya hapo, kulitokea vifo vya ghafla, kama Mzee Mkapa na Kijazi watu waliokuwa karibu sana na Magufuli. Hawa wote vifo vyao ni kanisa Katoliki?

Hivi vifo vya ghafla imeendelea kwa ndugai na juzi tuu hapa kwa Jestina, hawa nao wanabifu gani na kanisa katoliki?
Umemsahau X-mkurukenzi wa usakana wa taifa, Mahiga.
 
1765538505869.png
 
UJENZI WA JENGO LA KITUO CHA MAFUNZO YA KUONGEZA THAMANI MADINI YA VITO WAANZA JIJINI ARUSHA

■ Ni mkakati wa kuhakikisha madini vito yanaongezewa thamani nchini.

■Ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais.Dkt. Samia katika kuendeleza mnyororo wa madini thamani.

■Waziri Mavunde amtaka mkandarasi kuongeza nguvukazi kukamilisha mradi kwa wakati.

▪️Atoa siku 7 kwa Katibu Mkuu kukutana na wakandarasi,TGC na Taasisi za serikali kwa ajili ya upatikanaji vibali muhimu vya kuendeleza ujenzi.

Arusha

Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amemtaka mkandarasi wa ujenzi wa kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) kukamilisha ujenzi wa majengo ya kituo cha mafunzo ya Uongezaji thamani madini ya vito kwa kuongeza nguvukazi na kufanya kazi kwa masaa 24 ili kukamilisha ujenzi wa jengo kwa muda mfupi.

Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Desemba 12, 2025 mkoani Arusha wakati wa ziara yake ya kukagua mradi wa kituo hicho ulioanza ujenzi rasmi ambapo katika maelekezo yake amemtaka mkandarasi kuzingatia ujenzi bora wenye kukidhi vigezo vilivyoainishwa kwenye mkataba.

Waziri Mavunde amefafanua kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais.Dkt. Samia Suluhu Hassan inatekeleza mikakati yake kwenye mnyororo mzima wa uongezaji thamani madini ya vito kama Sera ya Madini ya Mwaka 2009 inavyoelekeza.

Sambamba na hapo, Waziri Mavunde amesisitiza kuwa, kuanza kwa ujenzi huu ni sehemu ya utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa Mhe. Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia Bunge la 13 jijini Dodoma.

Waziri Mavunde amebainisha kuwa, kukamilika kwa kituo hicho , kutaleta faida mbalimbali ikiwa pamoja na kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi watakao jiunga kwenye kituo, kuongezeka kwa wataalamu wa uongezaji thamani madini ya vito, kufungua fursa za ajira kwa vijana na wafanyabiashara wa madini , pamoja na kutosafirishwa kwa madini ghafi nje ya nchi hivyo kutachagiza ongezeko la mapato kwa taifa.

Pamoja na mambo mengine, Waziri Mavunde ametoa siku 7 kwa Katibu Mkuu Wizara ya Madini kukutana na wakandarasi ,TGC na Taasisi za serikali kwa ajili ya upatikanaji vibali muhimu vya kuendeleza ujenzi.

Kwa upande wake , Mkuu wa Wilaya Arusha Mhe. Joseph Mkude ameahidi kuendelea kufuatilia maendeleo ya ujenzi ili kuhakikisha ujenzi unakamilika kama Serikali inavyotaka.

Mkude ameongeza kuwa, kukamilka kwa kituo hicho itakuwa moja ya sehemu ya uwekezaji mkubwa wa serikali husasan kwenye Sekta ya Madini mkoani Arusha.

Awali, akitoa taarifa ya maendeleo ya ujenzi, Mkuu wa kituo cha TGC Mhandisi. Ally Maganga ameeleza kuwa, ujenzi wa majengo pacha hayo ya ghorofa 8 utagharimu Tsh Bilioni 33 na kukamilika kwake kutaongeza fursa ya vijana wengi kupata ajira kupitia ujuzi wa uongezaji thamani madini ya vito.

Naye, Meneja Mradi Mhandisi Robert Lubuva ameahidi kuhakikisha kama wakandarasi wataongeza nguvu ya rasilimali watu na vifaa ili mradi uweze kukamilika na kuwahudumia watanzania kwa wakati.

1765538750381.png

1765538765085.png

1765538782323.png
 
Matajiri wakubwa zaidi Tanzania wana asili ya Asia, mikoa yenye uislamu sana Tanzania ina umasikini wa kutisha, ikiongozwa na Kigoma
Watu weusi hapa Africa bila kujali dini wala kabila wengi wao ni masikini tu. Acha kujifurahisha mzee
Mkoa wenye Uislam sana ni Dar es salaam. Tuambie mkoa upi unaushinda mkoa wa Dar? Wote wenye pesa hapa Tanzania ni waislam. Wakatoliki hawataki kuwekeza Tanzania wanapeleka pesa zao Uswis na kwenye benki yao ya Mkombozi, wanaiba pesa zetu na kuzunguka ku frame watu wengine.

Katoliki ni tatizo la Tanzania. Pesa zote za Escrow zililiwa na wakatoliki
 
Kwa nini unachukia Kanisa Katoliki too much. Mbona Tanzania hatujazoea haya mambo?
Na Dar ni mixture ya Wakristo na waislamu, no one cares
 
Hii theory niliwahi ifikiria, kutokana na jinsi Magufuli alivyowasema mapadri pale St Peters, kutokumuamini Mungu na badala yake kuamini uongo wa WHO kwenye covid.

Hata hivyo inaniwia vigumu kuikubali hiyo 'scenario' kwasababu kabla ya hapo, kulitokea vifo vya ghafla, kama Mzee Mkapa na Kijazi watu waliokuwa karibu sana na Magufuli. Hawa wote vifo vyao ni kanisa Katoliki?

Hivi vifo vya ghafla imeendelea kwa ndugai na juzi tuu hapa kwa Jestina, hawa nao wanabifu gani na kanisa katoliki?
Kaka hao wanakutumia wakiona hufai tena wanakutoa roho. They call them devices. Wakiona wewe ni kikwazo kwenye missions zao they just terminate you. Kwanini wanaopata vifo vya ghafla ni wakatoliki tu? Hakuna mtu kutoka Protestant alipata kifo cha ghafla. Lowassa kadunda miaka mingi sana na afya yake.

Brother ndani ya katoliki kuna assasination group. Take it or leave it. Fuatilia kwa umakini sana utaona, wale wanaokuwa against na kanisa huku ni waumini wa katoliki wanauliwa. Very simple wanapewa sumu kwenye sakramenti wanakunywa then wanakufa chap.
 
Kwa kweli, kuna watu wanastahili kuwa ignored. Sema sijui kwa nini sipendi kuignore watu 😅
Jamaa uwezo wake wa kiakili na kuchanganua mambo ni mdogo sana.
Ni dizain ya watu wenye vyeti vya kuunga-unga. Memory span yake ni ndogo sana, hawezi kumbuka hsta tiny details za majadiliano weaks ago.

Ni dizain ya wana kila alichosoma kina evaporate minutes akitoka class.🚮
 
Kwikwikwikwikwi watu kama nyie huwa nawapotezea tu. Kwa sababu najua mnafikiria kwa kutumia nini. Watu wote wenye akili kubwa kama mimi duniani kote huwa tunawacheka tu.
Nenda kajifunze somo hili:
Deception methods in Espionage
 
Back
Top Bottom