Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,588
- 15,478
Umewahi kuishi Tanzania? Unatamani tuwe na udini ila bad news for youacha kujidanganya hakuna mshikamano kati ya Christian na muslim, they will catch you sleeping ndiyo utajua kwamba wenzako wako vitani tangia muda mrefu ila ni wewe tu ndo uko in denial ...
Tanzania hakuna UDINI