Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unapenda ubishi za kijinga sana wanyamwezi. Nani hajui kwamba all terror attacks in Kenya are carried out by Alshabaab and their sympathizers? Alshabaab as a terror group wanapatikana nchi gani?
Wanapakitaka southern somalia na nothern kenya na pwani kwani abdi logo aliyekuwa akihubiri ugaidi alikuwa raia wa nchi gani?
 
That's good to hear, hata Tanzania hakuna udini pia
Tena sisi tumeenda mbali, hatuna hata ukabila
Huwezi sema hamna ukabili. Upo ila sii kwa kiasi cha Kenya ama Uganda.
Udini pia mnao (In fact, Tanzania ndio namba mbili kwa udini eneo la Afrika Mashariki na Kati. Second only to Somalia). Ninavyoona mijadala inayoendelea mitandaoni ya Watanzania ni bayana udini upo Tanzania tena sana. Yani watu waandamane wauawe alafu kila watu wanachoona ni haya yamefanyika kisa Rais ni Mwislamu alafu useme hakuna udini? Wacha zako kijana.
 
Zaidi ya 95% ya waislamu wanapinga hao mashehe, kila mtu anajua wanalipwa. Tanzania hakuna UDINI wala UKABILA
Ila kuna watu ndio wanataka kuuleta
 
Sio kweli, kizazi cha 1980s ndio kimetufikisha hapa. Sio wazalendo kabisa
Mitihani migumu ≠ Elimu bora
Hapana, kizazi cha 80s (30s - 40s) ndo kimeanza kushika nyanzifa za juu hivi karibuni. Ni kizazi kilichopita ndicho kiliharibu.

Kizazi cha 80, kimefanya mabadiliko makubwa sana, kama eGovernment, kujenga SGR, Nyerere dam n.k.
 
Huwezi sema hamna ukabili. Upo ila sii kwa kiasi cha Kenya ama Uganda.
Udini pia mnao (In fact, Tanzania ndio namba mbili kwa udini eneo la Afrika Mashariki na Kati. Second only to Somalia). Ninavyoona mijadala inayoendelea mitandaoni ya Watanzania ni bayana udini upo Tanzania tena sana. Yani watu waandamane wauawe alafu kila watu wanachoona ni haya yamefanyika kisa Rais ni Mwislamu alafu useme hakuna udini? Wacha zako kijana.
Huu upuuuzi wa dini unafadhiliwa na huru maza. Tanzania ukitoka mtandaoni kuongea chochote una kesi ya uchochezi. Tazama wale mashehe waliotoa press conference ya kudai kukata vichwa watu ni yupi kakamatwa ama anatafutwa na Police?
 
Back
Top Bottom