mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,127
- 6,549
Bro, umeona video za mashehe na ma imam wanavyoongea?Waliua indiscriminately, wameua mpaka sheikh, chawa wa Samia. Kama mauaji yangekuwa targeted basi huyu sheikh Majini asingeuwa, sababu anajulikana.
Mnajua Bongo kufanya nini? Kwani kukaa kwenye nchi yenu hamuwezi? Lazima mfuate sheria zote za Tanzania. Na sasa tutawatomba mno.
Hao ni kikundi kidogo kilicholipwa kiligawa Taifa, kwa manufaa ya Cartel (CCM mtandao). Umemsikiliza Sheikh Ponda, anasema nini? Huyu anawakilisha mawazo ya waislam wengi Tanganyika.Bro, umeona video za mashehe na ma imam wanavyoongea?
Ama Nigeria, where kuna mikoa ina Islamic sheria laws na sio nchi unaweza ishi popote.Udini au ubaguzi wowote, unafanya kazi kama kuna homogeneous society yenye mgawanyiko wa wazi. Unakuta kuna kundi la pure Muslims au Christians ndani ya jamii moja, hawachangami wala kukaa chungu kimoja. Ni kama ilivyokuwa Sudan.
Mimi bibi yangu Mzaa mama ni Muislam na kaka yangu wa baba mkubwa ni muislam pia kwakua mama yake ni kuislam na alilelewa na wajomba zake. Mtoto wa kaka yangu ni muislam pia, mama yake ni Mtanzani-msomalia na alizaliwa nje ya ndoa hivyo kulelewa na mama yake.Udini au ubaguzi wowote, unafanya kazi kama kuna homogeneous society yenye mgawanyiko wa wazi. Unakuta kuna kundi la pure Muslims au Christians ndani ya jamii moja, hawachangami wala kukaa chungu kimoja. Ni kama ilivyokuwa Sudan.
Kwenye jamii hizo, watu hawashirikiani katika mambo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Hawashirikiani kwenye harusi, misiba na hawana shule za pamoja n.k
Watanzania ni tofauti sana, wameoleana sana, wamesoma pamoja, wanashiriki punlic holidays pamoja n.k. 8 out of 10 ya watanzania wana ndugu au marafiki wa damu wa dini tofauti na yao, tena kuna sehemu kama usukumani huwezi juwa dini ya mtu kwa jina lake.
Hayo ni maongozi ya vibaka.Bro, umeona video za mashehe na ma imam wanavyoongea?
Ndiyo maana Nigeria hawaendelei japokuwa ni watu aggressive Afrika na watafuta fursa, lakini division waliyonayo, inawafanya wawe vulnerable kama nchi.Ama Nigeria, where kuna mikoa ina Islamic sheria laws na sio nchi unaweza ishi popote.
Kenya kuna UKABILA sana hadi aibuWao kwao kuna ukabila na sehemu yenye ukabila hukosi udini
Kwenye jamii hizo, watu hawashirikiani katika mambo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Hawashirikiani kwenye harusi, misiba na hawana shule za pamoja n.k
Watanzania ni tofauti sana, wameoleana sana, wamesoma pamoja, wanashiriki punlic holidays pamoja n.k. 8 out of 10 ya watanzania wana ndugu au marafiki wa damu wa dini tofauti na yao, tena kuna sehemu kama usukumani huwezi juwa dini ya mtu kwa jina lake.
You know if I was to go by your logic, then there is no tribalism in Kenya and no one has ever died from tribalism in Kenya.Hao ni kikundi kidogo kilicholipwa kiligawa Taifa, kwa manufaa ya Cartel (CCM mtandao). Umemsikiliza Sheikh Ponda, anasema nini? Huyu anawakilisha mawazo ya waislam wengi Tanganyika.
When I was in Somalia, I used to tell them proper organization trumps aggressiveness in business all the time. They thought I was hating. hey have this notion that they'll take over Africa because of their supposed 'aggressiveness in business'.Ndiyo maana Nigeria hawaendelei japokuwa ni watu aggressive Afrika na watafuta fursa, lakini division waliyonayo, inawafanya wawe vulnerable kama nchi.
Sisi ni special na huo ndo ukwelihaha typical, watanzania wote hujiona na huamini kwamba wao ni tofauti sana na special, sijui ni nani aliwadanganya, mauaji yaliyotokea yalipaswa kuwaonyesha kwama hatuna uspecial wowote ule ...
Umewai fika Kenya?Kenya kuna UKABILA sana hadi aibu
Sijawahi kufika Kenya, na kuna possibility nisifike Kenya all my lifeUmewai fika Kenya?
Kwao kukuta ofisi fulani ya serikali ina wafanyakazi wa kabila moja kwa 99% ni kawaidaKenya kuna UKABILA sana hadi aibu
Duh, hii ni mbaya mno. They have a lot to learn from TanzaniansKwao kukuta ofisi fulani ya serikali ina wafanyakazi wa kabila moja kwa 99% ni kawaida
Na mbona Wakenya wakiona documentary za udini Tanzania unasema hawaijui Tanzania? Yani wewe uijue Kenya through documentaries pekee alafu Mimi niijue Tanzania through both documentaries na kuitembelea ila opinion yako ichukuliwe kwa uzito kuliko yangu?Sijawahi kufika Kenya, na kuna possibility nisifike Kenya all my life
Ila nimeona documentary nyingi kuhusu ukabila nchini Kenya. Inasikitisha sana