NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,975
Huwa naambia akina Geza Ulole ukachukua Wakenya wachanganue hiyo economy yao watajua hamna kitu hapo. Yani majamaa wamekubali kudanganywa tu. 𤣠š¤£
Sidhani kama ataweza! Lets be real! Mi naona miradi miradi yoote ya huu muhula itaenda Zanzibar kama mradi wa uwanja wa.mpira Dofoma ulivyoibukia Zanzibar!Bagamoyo port: Tanzania to commence constructing $10 billion sea port in December
![]()
Tanzania to start constructing new port in December, official says
Tanzania will start construction of a new port in the east of the country in December, a senior government official said, ending a decade of delays due to government objections to the initial contract terms agreed with foreign developers.www.reuters.com
Hii inawauma sana wakenya Kwikwikwikwikwi
Brother vifaa vya ujenzi vipo kwenye meli vinakuja. Hiyo ni true kaka.Sidhani kama ataweza! Lets be real! Mi naona miradi miradi yoote ya huu muhula itaenda Zanzibar kama mradi wa uwanja wa.mpira Dofoma ulivyoibukia Zanzibar!
Wewe hata adui humjui.You are fighting wrong enemy.
Aliyeleta na kukubali mkataba wa hovyo wa bandari ni Kikwete, kiongozi wa mtandao wa uovu na ndie aliyemchomeka Samia kama vice president kwa kumanipulate chaguo halisi la Magufuli, Dr Hussein Mwinyi.Hatufanyi vitu kwa mihemko. Wawekezaji walikuwa wanaleta mikataba ya ovyo.
Mombasa.Which airport did the 2.14M in Tanzania use?
Mmejua leo?Kejeli zenu wala hazitasaidia, tumeshawajua nia yenu. Mtanzania mwenye akili timamu ameshawajua kuwa ninyi ni adui zetu. Hatuchezi na kima tena.
Zidi kuskiaNaskia Museveni kamchimba biti Ruto! Asipompa stake anaachana na mradi wa SGR kwenda Malaba!
Nairobi Walker huwa unasema Tanzania kuna udini. Angalia mwenyewe uone jinsi tulivyo na mshikamano.Huwa naambia akina Geza Ulole ukachukua Wakenya wachanganue hiyo economy yao watajua hamna kitu hapo. Yani majamaa wamekubali kudanganywa tu. 𤣠š¤£
Nairobi Walker huwa unasema Tanzania kuna udini. Angalia mwenyewe uone jinsi tulivyo na mshikamano.
Ndio maana nasema wewe huijui Tanzania, kazi yako ni ku google tu information zinazokufavour
Tanzania has better people than Kenya, sisi hatuna UKABILA wala UDINI
View: https://www.facebook.com/100064575493778/posts/pfbid02iyxro4rrwj8rzcnkbWqG96YANsUzM7w1mM5CxwSJRxwJtKoirmRJoLUyjo6S2bUgl/?app=fbl
Mmejua leo?
Sisi ambao mmeharrass miaka mingi sababu kuwa na namba plate ya Kenya huko bongo, tulijua kitambo.
Hii yote ni kujidanganya tu, the ones in power have to push these narratives to control the massesI can bring you a million videos of Kenyans from different tribes praying together. Does that prove ukabila haupo?
Hauwezi kuprove kuwa ukabila haupo Kenya kwa sababu kuna matukio mengi mabaya ya kikabila yametokea Kenya yanaonesha mna UKABILA sanaI can bring you a million videos of Kenyans from different tribes praying together. Does that prove ukabila haupo?