Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaweza kuwa ni power struggles ndani ya CCM au ni conflicts of interest kwenye ma big fish kwenye hicho chama.. hii upande mmoja ukaomba usaidizi kutoka nje. Ndio yakatokea majanga...
Ukweli upo hapo hapo, na ukiangalia historia tangu wanamtandao walipoingia, wao kwenye kuua na kutumia umafia kutekeleza ajenda zao, siyo ishu.

Tukiutoa mzizi wa fitna (mtandao) kila kitu kinakaa sawa.
 
Talanta Stadium

1000106643.jpg
1000106641.jpg
 
Ukweli upo hapo hapo, na ukiangalia historia tangu wanamtandao walipoingia, wao kwenye kuua na kutumia umafia kutekeleza ajenda zao, siyo ishu.

Tukiutoa mzizi wa fitna (mtandao) kila kitu kinakaa sawa.

Siasa za Bongo Mimi sizijui kabisa Bro... Ndioo inaweza kuwa sio na sio ikawa ndioo...
Haswa inapokuja kwa dude kama CCM ambalo ndio serikali na ndio upinzani pia ni shida. Ukiweka na sijui mtandao ndio unavuruga kabisa... Mimi siasa yetu naijua juu juu tu!
 
CCM kama chama hakina shida. Tatizo lipo kwenye kund la watu ndani ya chama. Hata kama CCM itaondolewa bado wanamtandao watakuwepo, maana wapo mpaka Chadema.
 
Dar watu 145 wameshtakiwa kwa uhaini na mwanza watu 173 makosa mengine. Je kuna hata mtu mmoja kutoka nje?
Au wauaji walikuwa na shabaha na IDs kuhakikisha kila mgeni wanamuua?

Yaani watu watoke Kenya sijui Rwanda waje kuhujumu BRT what's so special about hio BRT ambayo ishajifia zimebaki barabara na mabanda mabovu tu?
Hukuwa unapay attention to details, jifunze kupay attention kwa kila detail however little, insignificant it appears. Kama ulikuwa unapay attention vyema, ungegundua kuwa ndani ya nchi kuna mtandao mkubwa sana wa Watanzania wanao shirikiana bega kwa bega na Wakenya kwenye kuhujumu nchi, hasa kundi la Chadema.

Kila tukio la SGR treni, imefeli imepata tatizo wana watu ndani ya hiyo treni kuwapa picha, video clips na other info na ndio kundi la kwanza kupost taarifa hizo mtandaoni hata kabla ya shirika na ndio kundi limekuwa likishangilia sana na mara zote kila aina ya tatizo treni au miundombizu yetu ikipata tatizo ama itilaf.

Akwilina alipigwa risasi na watu waliokuwepo kwenye maandamano na walifyatua risasi randomly, na Chadema kukodi thugs from Kenya imekuwa ni kawaida yao kama iklivyokuwa Arusha walipo pora Askari silaha na kuuawa na Dr Slaa na mkewe kupigwa na kutoka damu.
Chamoto AMARII
 
BS.
 
CCM kama chama hakina shida. Tatizo lipo kwenye kund la watu ndani ya chama. Hata kama CCM itaondolewa bado wanamtandao watakuwepo, maana wapo mpaka Chadema.
Kikwete ndio shida nchini, na makundi ndani ya CCM yalianzishwa na Kikwete na Lowassa na ndio kundi linalotesa Tanzania kwa miaka nenda rudi na ndio kundi klimetukosesha rais bora, Dr Salim Ahmed Salim, ndio kundi limemzima Magufuli na ndio lilikuwa likimuhujumu na ndio kundi lililo mpachaika Samia madarakani.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1986533538502467876

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1986536347616878965

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1986537627353292935

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1986541247058624713

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1986539273718276390
 
CCM kama chama hakina shida. Tatizo lipo kwenye kund la watu ndani ya chama. Hata kama CCM itaondolewa bado wanamtandao watakuwepo, maana wapo mpaka Chadema.
State capture....

Kutoka hapo ni ngumu....jamaa hao wana akili na wame leverage our resources kwa wakubwa hivyo wako Mbele ya muda kwenye kila kitu..
 
Kikwete ndio shida nchini, na makundi ndani ya CCM yalianzishwa na Kikwete na Lowassa na ndio kundi linalotesa Tanzania kwa miaka nenda rudi na ndio kundi klimetukosesha rais bora, Dr Salim Ahmed Salim, ndio kundi limemzima Magufuli na ndio lilikuwa likimuhujumu na ndio kundi lililo mpachaika Samia madarakani.
Ndiyo maana Mtanzania yeyote asiyeliona hili tatizo, mi naona na yeye pia ni seheme ya tatizo. Huwezi kujidai mzalendo wa kweli halfu usione tatizo la Kikwete.
 
Back
Top Bottom