Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hukuwa unapay attention to details, jifunze kupay attention kwa kila detail however little, insignificant it appears. Kama ulikuwa unapay attention vyema, ungegundua kuwa ndani ya nchi kuna mtandao mkubwa sana wa Watanzania wanao shirikiana bega kwa bega na Wakenya kwenye kuhujumu nchi, hasa kundi la Chadema.

Kila tukio la SGR treni, imefeli imepata tatizo wana watu ndani ya hiyo treni kuwapa picha, video clips na other info na ndio kundi la kwanza kupost taarifa hizo mtandaoni hata kabla ya shirika na ndio kundi limekuwa likishangilia sana na mara zote kila aina ya tatizo treni au miundombizu yetu ikipata tatizo ama itilaf.

Akwilina alipigwa risasi na watu waliokuwepo kwenye maandamano na walifyatua risasi randomly, na Chadema kukodi thugs from Kenya imekuwa ni kawaida yao kama iklivyokuwa Arusha walipo pora Askari silaha na kuuawa na Dr Slaa na mkewe kupigwa na kutoka damu.
Chamoto AMARII
RRONDO naona umempa REAL Comrade Kipepe comment ya B.S

Kuhusu Chadema kushirikiana na Kenya sijui, ila chochote kinawezekana hasa ukiangalia dunia yetu ipo kwenye transition period, ya multipolar world.

Ishu ya SGR kuharibika inaweza kuwa ni watu wa nje au ndani na kwenye mambo haya ni vizuri kuangalia signal badala ya noise.

  • Je ni nani aliripoti haraka ajali ilipotokea, nani alikaa kimya?
  • Serikali ilisema nini?
  • Je serikali ilileta mrejesho au iliishia hapo?
  • Treni ya mizigo iliishia wapi, mbona kipande cha bandarini kimechukua miaka mingi kukamilika?
  • Nani atafaidika SGR ikiharibika?

Hizo zote ni signals.

Sasa kama kuna sabotage kutoka Kenya, ni nani anazuia kukamilika reli ya mizigo? Ni Wakenya? Kama ni hivyo basi hatuna nchi.

Tatizo letu kubwa ni kuwa Kikwete hana uzalendo na Tanganyika na hili aliionesha toka kipindi cha urais wake kwa kutuletea Richmond na mikataba ya gesi pamoja na ule mkataba wa bandari ya Bagamoyo, na yeye ndiyo sponsor wa Samia.

Samia alipoingia tuu ikulu bando la simu likaongezeka mara dufu, kutukomoa. Magu aliahidi kupunguza gharama za umeme, bwawa la Nyerere likikamilika, Samia hajafanya hivyo. Sana sana ameongeza bei ya kuunganisha umeme wa REA kutoka Tsh 27,000.

Utaona hapa jinsi hii collable inavyoshirikiana kumfanya mtanzania awe masikini, akitokea mtu anapiga sauti anashughulikiwa kwa nguvu zote, hii ni kwa faida ya nani?

Sasa hivi Vijana wamejaa upepo hasa baada ya mauaji, unaweza kuta, wamefanya hivyo makusudi, ili watu wawe busy na mauaji (smoke screen) huku wao wanafanya ufisadi wa kutisha.
 
Hukuwa unapay attention to details, jifunze kupay attention kwa kila detail however little, insignificant it appears. Kama ulikuwa unapay attention vyema, ungegundua kuwa ndani ya nchi kuna mtandao mkubwa sana wa Watanzania wanao shirikiana bega kwa bega na Wakenya kwenye kuhujumu nchi, hasa kundi la Chadema.

Kila tukio la SGR treni, imefeli imepata tatizo wana watu ndani ya hiyo treni kuwapa picha, video clips na other info na ndio kundi la kwanza kupost taarifa hizo mtandaoni hata kabla ya shirika na ndio kundi limekuwa likishangilia sana na mara zote kila aina ya tatizo treni au miundombizu yetu ikipata tatizo ama itilaf.

Akwilina alipigwa risasi na watu waliokuwepo kwenye maandamano na walifyatua risasi randomly, na Chadema kukodi thugs from Kenya imekuwa ni kawaida yao kama iklivyokuwa Arusha walipo pora Askari silaha na kuuawa na Dr Slaa na mkewe kupigwa na kutoka damu.
Chamoto AMARII
Is this the best script you could come up with? 🤣
 
Sasa ni wakenya ndio walikodiwa wake kuuwa watu Tanzania? You guys never fails to amaze me😂😂😂.

From Wakenya ndio walikuwa wamekuwa to Wakenya ndio walikuwa wanauwa watanzania ndani ya Tanzania. Yani you people when will you stop blaming Kenya and Kenyans in everything and face your problems head on?

Your inferiority complex is now becoming too much.
 
They have always been that way. Whenever their politicians blunder, they conveniently deflect blame onto Kenya, convincing their people that we are the source of all their misfortunes. It’s the same narrative they spun during the collapse of the East African Community. This is why, in the Kenya/Tanzania rivalry, Kenyans often perceive it as harmless banter, while Tanzanians interpret it with undue seriousness, viewing Kenyans as enemies.
Fortunately, in the era of social media, such deception no longer passes unnoticed. Yet, decades from now, a considerable number of Tanzanians will likely still cling to the belief that Kenya sought to destabilize their nation back in 2025.

cc Geza Ulole instanbul Chamoto REAL Comrade Kipepe
 
Siyo form 4 tuu hadi darasa la saba ni failure, she has never won or pass anything other than kubebwa.
Based on this information, I'm made to believe she is a mere flowergirl with the real rulers acting in the background.
 
ichoboy01 uko wapi aisee?
Nashukuru sasa watu wameanza kujadili details.
Kuna watu wengi walikuwa wananiuliza kwanini Venus Star amebadilika, kipi kimemsibu.

Ndugu zangu napenda kuwaambia mimi nafanya mambo bila kukurupuka huwa nafanya utafiti na kisha nakuja na conclusion

1. Matukio ya Polepole, mnauhakika kweli huyu Polepole alikuwa upande wa Magufuli? Polepole ameibuka juzi kati na kuanza kutoa maelezo kuhusu Kifo cha Magufuli. Polepole alikuwa Katibu wa Itikati na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Yeye na Bashiru walikuwa na ugomvi usioisha ndania ya chama. Bashiru alikuwa Katibu mkuu wa CCM. Hawa watu wawili walimsumbua sana Magu akiwa mwenyekiti maana walikuwa hawaelewani na kusababisha ugomvi wa mara kwa mara ndani ya CCM.

KUHUSU POLEPOLE
Polepole toka akiwa kijana alikuwa kwenye Civil Society na baadaye kuteuliwa kuwa Rais wa Civil Society Tanzania. Baada ya hapo kuna matukio ya Ulimboka na vyama vya madaktali kugoma. Polepole yeye ndiye aliyekuwa akitumwa na Kikwete kwenda kuongea na kundi la Ulimboka ili waache mpango wao.

Siku ya kabla Ulimboka kutekwa alikaa na Polepole pale mlimani city, Polepole akimsihi ulimboka aachane na mpango wake. Walikaa kutoka Saa 12 jioni mpaka zaidi ya saa 5 za usiku. Ulimboka aligoma. Ndio kutekwa na kuteswa kulitokea baadae.

Polepole alimbiwa na Kikwete kuingia kwenye Tume ya Katiba ya Warioba. Kikwete aliwaacha watu wasomi waliokuwa kwenye Civil Society kama akina Meena akamchukua Polepole. Yalitokea yaliyotokea kila mtu aliona, Polepole alizunguka nchi nzima akiihubiri Rasmu ya katiba iliyoundwa na Warioba huku akimponda Kikwete. He was creating a chaos ili watu wachanganyikiwe. Polepole hakuwahi hata siku moja kufanywa chochote.

Kipindi cha Maazimisho ya siku ya wafanyakazi yalipangwa yafanyike Mwanza. Polepole alipanga kuanzisha Mkutano wake huko Geita ili kuvuruga mkutano wa Kikwete. Kilichotokea, Polepole alifungiwa kwenye hotel tu na Hotel hiyo huko geita kuzungukwa na walinzi. Baada ya mkutano wa Kikwete kuisha aliachiwa na kupewa nauli ya ndege kurudi Dar.

Inabidi sasa tujiulize Polepole alisema yeye yupo na viapo viwili, viapo hivyo ni vipi? I know Polepole Personaly siyo kusimuliwa tu. Baada ya kifo cha Magufuli alikubali kuteuliwa kuwa Mbuge na Rais Samia. Baadae alikubali kuteuliwa kuwa Balozi wa Malawi kisha Balozi wa Cuba. Polepole alianzakuona kabisa Ndoto zake kubwa zinaanza kuziwa taratibu. Polepole alikuwa na uadui mkubwa na Ummy Mwalimu.

Cha kujiuliza zaidi, Kwanini huyu Polepole alikuwa kimya baada ya kifo cha Magufuli mpaka ilipofika muda huu? Hao wa akina Polepole ndio walikuwa washauri na wasaidizi wa Magufuli wa karibu sana, walifanya nini kumlinda Magufuli asiuliwe? Polepole alikuwa anaaminiwa sana na Magufuli. Alifanya nini kumlinda au kutoa ushauri?

Kwenye Comment hii naomba niweke swali hili. Nitaendelea kushusha nondo ili watu wanielewe. Kwanini niliamua kubadilika
 
Ukiangalia juu juu unaweza kukadhani watu wanampiga Rais Samia. Kinachogombaniwa hapa ni Maslah kati ya

Katoliki + Baadhi ya walokole vs Waislam + CCT na Baadhi ya walokole

Maslah yao hawa yakiwekwa sawa hakuna kelele utaziona.
Katoliki wapo na hasira sana baada ya kuondolewa makampuni yao huko Bandarini, Kanisa lilikuwa linajipatia fedha za kumwaga.

Yanapoitwa Maridhiano na mazungumzo wala siyo vyama vya siasa bali ni madhehebu haya ya dini kuwekwa sawa na maslah yao kulindwa. Basi hakuna kingine hapa.
 
They have always been that way. Whenever their politicians blunder, they conveniently deflect blame onto Kenya, convincing their people that we are the source of all their misfortunes. It’s the same narrative they spun during the collapse of the East African Community. This is why, in the Kenya/Tanzania rivalry, Kenyans often perceive it as harmless banter, while Tanzanians interpret it with undue seriousness, viewing Kenyans as enemies.
Fortunately, in the era of social media, such deception no longer passes unnoticed. Yet, decades from now, a considerable number of Tanzanians will likely still cling to the belief that Kenya sought to destabilize their nation back in 2025.

cc Geza Ulole instanbul Chamoto REAL Comrade Kipepe
Yani instead of holding their leaders accountable for killing Tanzanians, they shift blame to Kenya. Even if Kenyans were to come and kill people in Tanzanian, what has their government done for that allegation? What has their military done? Cause that act alone is enough for declaration of war with a neighbor state. Finally, if their poorly cooked allegation is somehow true, then their Tanzanian intelligence must be the shittiest intelligence ever.

I’m surprised even someone like Chamoto blindly agrees with such lame accusations and supports them.
 
Is there any artcaffe in Kenya that is bigger than this one currently coming up in Kisumu apart from the one in Westlands?

This facility located in the compound of United Mall will effectively serve the residents of upcoming Anderson, Lumumba and Makasembo Affordable Housing Projects which are just few meters away.

Image
 
Yani instead of holding their leaders accountable for killing Tanzanians, they shift blame to Kenya. Even if Kenyans were to come and kill people in Tanzanian, what has their government done for that allegation? What has their military done? Cause that act alone is enough for declaration of war with a neighbor state. Finally, if their poorly cooked allegation is somehow true, then their Tanzanian intelligence must be the shittiest intelligence ever.

I’m surprised even someone like Chamoto blindly agrees with such lame accusations and supports them.
They don't want to think. It is easier to accuse a neighbor.
If it's true that it's Kenyans that were rioting, it means they have a weak intelligence and defense system and a useless government.
If it is Kenyan police and soldiers killing their people in their own country, then they were definitely hired by their own government.
Whichever way you look at it, it still points to their government being inept but they would rather shift the blame to Kenya.
All in all, it's impossible for Kenyans to cause chaos of that magnitude in Tanzania unnoticed and still maintain diplomatic relations but they don't want to think.
 
Nashukuru sasa watu wameanza kujadili details.
Kuna watu wengi walikuwa wananiuliza kwanini Venus Star amebadilika, kipi kimemsibu.
Hivi Kikwete kwako ni mwema kwa nchi yetu? Maana hujawahi kusema chochote kuhusu yeye?

Wengine tuna kumbukumbu nzuri ya kila tunachosoma.

Kuna siku ulicharuka hapa ukimtetea Magufuli, tena ukaenda mbali na kuwasema vibaya waislam (kwa kweli uliwatukana).

Uliongea mengi sana kwa hasira mpaka ukaiacha ID yako hii. Ukatumia ID nyingine kwa muda, halafu baada ya wiki chache hivi ukarudi tena na hii ID. Unakumbuka?

Baada ya hapo, haukuwa yule wa mwanzo, ulibadilika na kuwa mtu wa kusifia tuu.

Walikufanya nini ndugu yetu ukabadilika? Au wewe siyo yule wa mwanzo ni mtu mwingine unatumia tuu ID hii?

Juzi nilipokuuliza mbona ulibadilika, ukaniambia, "wewe hunijui". Aisee!
 
Back
Top Bottom