Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Mass Report this accountamepata kura 31,000,000 bado unatuletea kelele kutoka Kibera Kwikwikwikwikwi Tanzania siyo Kenya mdogo wangu.
Kwikwikwikwi. Tumeshamaliza uchaguzi, nawaomba msianze kulia sasa. Vijana wa kwenye mitandao tupo nao. Mlianza nyie sasa sisi tunamaliza. Mambo ya ku report accounts tunayajua. Tulikuwa tunasoma mchezo sasa ni zamu yetu.Mass Report this account
Saahii huwaoni humu. Mara ngapi tumewaambia amani yao is a facade?Only Good thing the delusion and propaganda of what Tanzania is has been shattered in their own eyes
You turn it into a competition when your country is bleeding.
Acha ufala kaka kuna muda utumie akili sio makalio.amepata kura 31,000,000 bado unatuletea kelele kutoka Kibera Kwikwikwikwikwi Tanzania siyo Kenya mdogo wangu.
Madam Dikteta amesema hawa ni foreigners.
View: https://x.com/Twaha_Mwaipaya/status/1985596852071514569
Huyu Jamaal nilifikia hatua ya kumpuuza maana ana udini sana.Ninavyoona, at the top of the food chain, ishu siyo uislam per see. Kuna baadhi wanaweza kufurahi kwa sababu ya upeo mdogo ila waislam walio wengi hawamtaki Samia na hawa mercinaries wanaoua hovyo, hawaulizi dini ya mtu wanapofyatua risasi, kama wanavyofanya alshabab.
Kikubwa hapa kinachoendelea ni kuondoa umoja wetu ili kukomba raslimali. Kwa mfano ukiangalia kwa Samia, yeye na watu wake wa karibu ndiyo wanaojineemesha na pia kuwapa wazanzibari favors (mf. kuwafutia deni la umeme).
Samia hajawafanyia waislam chochote cha maana kama jamii. Hakuna cha mahakama ya kadhi, sijui kuiondoa BAKWATA, hata kujenga vyuo vikuu vya kiislam hakuna, hakuwahi hata kuomba pesa za kujenga misikiti mikubwa kama Magu au Mwinyi alivyobadilisha sheria ya uvaaji uniform kwa wanafunzi.
Ukifuatilia kinachoendelea Ulaya kiuchumi, hasa baada ya kushindwa ku destabilize Urusi na jeuri ya wachina kuongezeka, unawezapata picha ya kiini cha haya mambo.
Port na SGR zinaingiliana wapi wee chingchong? Noi wonder hata wenzako wamekuchoka.................watu wanaomboleza wewe uko tu na vijibattle vya ujinga.Mnasemaga Mombasa port annual total port cargo volume ni more than 45 million of tones halafu whole month ni half a million as a top figure ever 😂😂😂 faking numbers with teaspoon brain yet hamna hata a quarter of trucks plying in Tanzania into it's landlinked countries
Thanks guys it's been long ride. Now nitakua msomaji tu. I am not even excited na battle kabisa, I don't see maendeleo kabisa more than wao kutumia rasmali zote kujilinda. My only hope ipo kwa hii sheria iliwekwa na the Late John Pombe Joseph Magufuli.
1. Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act (2017)
2. Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Renegotiation of Unconscionable Terms) Act, 2017
Kwa kua now wameshinda na hawana legitimacy ya wananchi only way ya kuvutia mwekezajo ni kupitia unconscionable terms, na more power to dictate wanachopewa.
Na hizo sheria Kinda zinawanyima raha maana wakipinduliwa hakuna mwekezaji wa kushtaki sababu tayari the law are there
Poor Tanzania we had great future
View attachment 3497187
I can smell violence maana hawa vijana ukiwapatia silaha sio poa watu wamekereka na Jeshi kuwageuka.
What makes you think they won't change the clauses protecting natural resources?Thanks guys it's been long ride. Now nitakua msomaji tu. I am not even excited na battle kabisa, I don't see maendeleo kabisa more than wao kutumia rasmali zote kujilinda. My only hope ipo kwa hii sheria iliwekwa na the Late John Pombe Joseph Magufuli.
1. Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act (2017)
2. Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Renegotiation of Unconscionable Terms) Act, 2017
Kwa kua now wameshinda na hawana legitimacy ya wananchi only way ya kuvutia mwekezajo ni kupitia unconscionable terms, na more power to dictate wanachopewa.
Na hizo sheria Kinda zinawanyima raha maana wakipinduliwa hakuna mwekezaji wa kushtaki sababu tayari the law are there
Poor Tanzania we had great future
View attachment 3497187
I can smell violence maana hawa vijana ukiwapatia silaha sio poa watu wamekereka na Jeshi kuwageuka.
You must be the most foolish Tanzanian in this platform apart from Venus Star.Mnasemaga Mombasa port annual total port cargo volume ni more than 45 million of tones halafu whole month ni half a million as a top figure ever 😂😂😂 faking numbers with teaspoon brain yet hamna hata a quarter of trucks plying in Tanzania into it's landlinked countries
Nchi imekuwa ya kisenge sn, siwezi kuishabikia nchi ya kimbwa kama hii, jwtz jeshi la wabeba sufuria na magogo wametulia tuu wakati waganda wanaua raia bila sababu.Ni aibu kuwa Mtz sasa hivi. Imagine mamia ya watoto wetu wameuawa kama mbwa koko lakini hakuna hata chombo kimoja cha habari kimeripoti. Na bado kuna mbwa anakuja humu JF Forum ashangilia kabisa. Sometimes tunajitahidi kushindana na Kenya ila moyoni tunajua we are worlds apart, Tz tuko nyuma sana yaani nyuma sana. Nimeumia sana.