Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Majority of Kenyans are very empathetic. During our Gen-Z protests kuna watu hapa walikua wanatutusi wakishangalia when our people were getting murdered by the stupid police. Sisi tumekua in solidarity with them during their darkest moment. It's very shameful kuna wabongo wengine hadi walikua wakitutusi hapa when we were advocating for Tundu Lissu to be freed. Kuna wabongo husema sisi wakenya tuna roho mbaya because of online banter, kwa ground hua hatuna machungu na mtu. We were voted as the frendliest country in the world, na hatubrag by the way. 😂 😂
Tunawashukuru sana wakenya kwa kuonesha uungwana, siyo hapa tuu bali hata kwenye mitandao mingine.

Ni kweli baadhi yetu huwa wanawacheka kwenye mambo ambavyo siyo ya kuleta dhihaka, mgeweza kufanya hivyo ila mmeonesha ustaabru mkubwa.

Mungu awabariki sana.
 
Huyu Jamaal nilifikia hatua ya kumpuuza maana ana udini sana.
Anashindwa kuelewa kuwa tatizo ni CCM sio dini.
Kama ni uislam Samia si angewaunga mkono wagombea waislam ikiwemo Sheikh Ponda Issa Ponda!?
Anashindwa kuelewa kuwa Emmanuel Nchimbi ni mkristo Na kuna wakristo kibao kwenye genge la Samia.
Huyo Samia kuna wanaomuendesha nyuma yake sio yeye peke yake.
Mimi sio mdini na sina dini ndio maana niliachana na upadri na wa siudhuri kanisani.

Nikujulishe tu. Nchimbi, Bashe sio team Samia ni team Lowassa kindakindaki. Team Samia ni group la Kikwete na hao watajwa wanabeef kubwa ma Kikwete, Godfather wa Samia..

Dizain wewe ni mpya kwenye ulingo wa siasa.
 
You must be the most foolish Tanzanian in this platform apart from Venus Star.

That statement talks of SGR cargo handled and not the entire port performance. Yani wewe hata kwa mambo huwezikosa kuwa mpumbavu.
Regarding 90 percent of total Mombasa port is destined to Nairobi, 600k tones per month is so wild 🙄
 
#(long post).I've been observing the thread and this is what I noticed, Walahi! kenyans are good people, kenyans are like that big wise brother and Tz is that jealouse small hateful twin you have in the family. Despite the hatred,envy, and jealousy that is resented by the small twin, the big brother alway stands by the small twin whenever he seems to be in trouble....Right now kwenye hii battle Tz is at its knees wako in their lowest of moments, kenyans here could have taken the advantage and could have completely and mercilessly destroyed them, but rather they choose to stand with them during this dark moment. Now!, just imagine if the situation were to be reversed!🙌🙌just imagine if it was KE going through what TZ is going through right now🙌🙌 some of this low IQ, really evil demonic people would have been celebrating and wishing for our complete destruction! ... Hurts off and respect to my fellow kenyans and the few brave Tanzanian souls.

A familiar illustration if the events were to be reversed 👇🙌...
View attachment 3497324
Hamchoki kujipa umuhimu
 
Hamchoki kujipa umuhimu

Namaste jirani!...Deep down inside unajua that what was said might not be 100% true but 99.9% true!. the contrast between the two parties when it comes to handling search matters is crystal clear. so jaribu kupunguza feelings na ushabiki. open your eyes na utulize roho.
 
Regarding 90 percent of total Mombasa port is destined to Nairobi, 600k tones per month is so wild 🙄
You are still dumb. Uganda alone have 7.8M tonnes passing through Mombasa, that's 18%.

Hapo hujaguza, Tanzanian, South Sudan and Rwandan cargo.

And who told you 600k tonnes is the total Mombasa Port Performance per month?
 
Back
Top Bottom