Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe nilifikiri unauwezo wa kiakili wa kutazama nje ya BOX.
Look kinachoendelea Tanzania ni machafuko ya kisiasa sawa na kwenye hali kama hii kuna possibilities nyingi.

Moja:
Vyama vya siasa vya upinzani hasa Chadema ndio wenye historia ya kufanya hivi kuhire groups za thugs na huua rais hovyo kama njia ya kuiweka CCM kwenye wakati mgumu na kuchukiwa na umma na kupata international condemnation na mengineyo. So kuna mengi nyuma ya pazia yanayo tokea na kuendelea, uki oversimplify mambo utakuwa mjinga.

Mbili:
Polisi na jeshi hawadeal na watu wako passive. Kikundi kinacho rusha silaha wako na nguo za kiraia na wengine utawaona kwenye clipwakiwa kwenye Toyota Landcruizer nyeupe.
Lakini sio bongo acha taarifa za uongo broo
 
Bro, what you're experiencing now is childplay compared to what we endured under Moi and Kenyatta. Unajua nyinyi mlipata uhuru na Rais mpole asiye katili, sisi uhuru tuliupata na real mafia. Ndio maana nyinyi ndio mnaanza kupigana saahii, sisi tulianza kupigana 1960s. Alafu whenever a president dies in power, there's always speculation of foul play. Hata Kenyatta Sr. kuna wenye wanaamini aliuliwa.
Kupigania Ukabila sio kupigania haki ya tiafa
 
Ila museven anapiga show la kibabe mazee dah
1000167205.jpg
 
Nimepatama na picha pamoja na videos zinatokezea upande wa tanzania na hali inatishia sana aisee,huyu mama pamoja na genge lake ni blood thirsty vampires for real.all this blood shed and maiming for what,kuongoza watu hawakutaki.my prayers are with tanzanians.
 
Those two fools kind of overestimate themselves millitarywise.
Museveni and his idiotic,demented son are some characters that need to be dealt with swiftly and immediately for Long term stability of the region.he now has tanzanians blood on his hands.after Tz is liberated ug should be next.
 
There is word going around in the wires that Tindu Lissu will be released and made Prime Minister for 2 years before new elections. But if mama truly got 98% of the vote , that’s super mandate, so why cave in now?..
 
Nimepatama na picha pamoja na videos zinatokezea upande wa tanzania na hali inatishia sana aisee,huyu mama pamoja na genge lake ni blood thirsty vampires for real.all this blood shed and maiming for what,kuongoza watu hawakutaki.my prayers are with tanzanians.
Nilimwambia ndugu yako NairobiWalker jana kuwa Kenya haijafikia hali tuliyonayo. Huu unyama unakaribia ule wa Rwanda 1994.
 
Back
Top Bottom