Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mafinga
A small peaceful town in Southern Highlands of Tanzania. It's one of the coldest places in East Africa
Screenshot_2025-11-04-11-58-21-693_com.facebook.lite.png
Screenshot_2025-11-04-11-58-43-007_com.facebook.lite.png
Screenshot_2025-11-04-11-59-00-935_com.facebook.lite.png
1762246634010.jpg
Screenshot_2025-11-04-12-00-02-076_com.facebook.lite.png
Screenshot_2025-11-04-12-00-25-827_com.facebook.lite.png
Screenshot_2025-11-04-12-01-03-118_com.facebook.lite.png
Screenshot_2025-11-04-12-01-52-248_com.facebook.lite.png
Screenshot_2025-11-04-11-47-13-683_com.facebook.lite.png
 
kuanzia 2021 mpaka sasa hii battle imebebwa na Nairobi tanzania tumekuwa beaten kwa mbali sana kwenye hiki kipindi tuache unafiki na hata wakati ujao hauoneshi dalili kama tutaweza ku-compete na kenyan battle imepoteza mvuto kwa kasi kubwa sana. Unaweza kuona kwa mifano mingi kenyan wana upload miradi mikubwa mipya ila sisi tuna upload madhaifu yao kama uchafu etc ambavyo in reality hata hapa bongo yapo pengine na zaidi point tuliyobaki nayo ni slum na vipi pakifanyika upgrade na kutokomeza slums je ni kipi tutazungumza ni kipi tutashindania?. Kwenye inshu ya amani, utu na ulinzi ni kipi tutaongea tena baada ya MO29 kutokea? (kama huwezi kushindana nae jiunge nae). Ni bora kwasasa tushindane kwa ukanda mfano ke+tz vs nigeria+xxx.

Tuwe wakweli tanzania kwasasa feels like a frozen atmosphere, nothing can change its position, just like a bug in the ice.
 
Ni uzalendo tu. Wakenya wanauita blind patriotism humu JF. Now all that through the drain. Ni kweli tangu 2021 hatuna cha kushindana na hawa watu. Na trend hii in the next few years GDP yao itakuwa kubwa mara mbili yetu kama bado mpaka sasa.
Watu wako busy kuiba na kuua raia nchi inarudi kwenye LOW INCOME badala ya kupanda. Na Kenya wanaondoa slums taratibu zikiisha hatuna tena kichaka cha kujificha. Hawa CCM walaaniwe wite na vizazi vyao k@##%%^&&&&^^^e
 
The construction of 300 Woodley village along Ngong Road has commenced. 15fl x8 . By the time AFCON arrives, the area around Talanta stadium will resemble a first world country. From ongoing remodeling of Ngong road to new railway line and new real estate development around the stadium neighborhood . The place will look dope in 2 years time.
IMG_7919.jpeg
IMG_7920.jpeg
 
Tunaanzia tulipoishia. Tutasimama na Tanzania maisha yetu yote. Wenye roho nyepesi tayari wameshageuka kuwa waasi. Lakini mimi nimebaki kuwa imara 🤣 🤣 🤣

Mauaji yaliyopangwa na wale waliokuwa wanajaribu kufanya mapinduzi yalikwama. Sasa wale wote walikuwa wanachochea vurugu na kufanikisha vurugu tunawapeleka ICC. Na uzuri picha wanazituma wao kwenye mitandao kwa ujinga wao.

1762364386935.png
 
Back
Top Bottom