Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,990
Nataka nimsome akili yake kama nae ni kichaa kama yule ndugu yake
"Nipee" dada yako tufanye ka "experiment" tuone kama atapata hedhi next month au laa.Is it that time of the month? Unaumwa na hedhi?
Hivi hii idea ya kutunza dhahabu Uk, ni nani aliwaroga watu na wakaikubali? Yaani ni kama uumpe mchawi akulelee mwanao.Migodi hana anunue dhahabu wakaitunze UK ina maanisha ulinzi kwao ni sifuri siku wakiandamana wataiba dhahabu yote
In the next 5 years there will be more electric buses in Nairobi than diesel buses. This is Tom Mboya Street.
View: https://www.youtube.com/watch?v=3Qz9SWhyboA&t=943s
Tuonyeshe hiyo State of the Art yenu yenye mmezoea. 🤣
tuonyesheni any modern stadium apart from Talanta outside ya Naipori. Kila kitu ni naipori tuu ukipata ni tag nitoke JF sasa hivi.Daily Dose
![]()
What's wrong with this? Ama Jiji halifai kua na watu? Unapost hata bila kufikiria.
hebu niletee upumbavu kama huu kutoka kwenye hzo nchi kua waalimu hawajalipwa pesa zao 😂😂😂😂
View: https://x.com/goddie_ke/status/1980677434203586565?s=46