Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mradi wa Golden Premiere Residence ambao unatarajiwa kukamilika mwaka 2026, unaotekelezwa na shirika la nyumba NHC
Pakikamilika patakuwa hivi
View attachment 3489706
Kwa sasa ujenzi umeshaanza, mradi upo karibu na Kawe 711 project, yote hii ipo Kawe.
Eneo hili hapa, ujenzi umeanzaView attachment 3489707
This project started long time even before Magufuli died and it's not finishing anytime soon. Yani ikifika mambo ya gorofa mnazitafuta torch 😂😂😂
 
Mradi mwingine ni Mix use Development Tower, huu utaanza pale Nkurat Street, Dar es Salaam
Design ya jengo ndio hii
View attachment 3489709

I asked for buildings under construction, not renders that nobody knows if they will be approved or not
 
Eti kwa kuwa mnajenga majengo marefu mengi basi na Tanzania ndio tufanye hivyo.
Mnajenga majengo mengine above 20 floors lakini sio massive ukifananisha na EACLC hapa Ubungo ambalo ni fupi but ni bigger, more expensive and more modern than your so called "20 floors buildings"
BBS Mall is bigger and more expensive than that EACLC, so sit down and relax.
 
Meaning of buildings under construction ndio huelewi ama? Why show me renders that hata hamjui kama inajengwa?

When I said 3 buildings under construction I was 100% sure that haziko and that's why I dared all of you post them.

I still pose the same challenge to any Tanzanian that can show as at least 3 buildings currently under construction with 20 floors and above.
 
Hizo zilizokuwa under construction huzioni ama? huku our buildings are scattered all over the place sio kama nyie kila kitu CBD huko Kawe iko tower nyingine inapanda sema sisi watu wetu huku hawana hulka ya kupigapiga picha majengo.
 
So TRA tower iko under construction? You be a big idiot then.

Alafu zenye unasema are scattered all over why can't you just show us, there was no condition placed you should not share them.

I repeat, if show us at least 3 buildings under construction in Tanzania with 20 floors and above natoka JF saa hii. Nairobi I can show you 30 of them without blinking an eye.
 
😂😂😂😂Turudi kwa Renders kidogo,ila najua hamuzi pendi kabisaa!😂😂😂🙌The Diplomat 27floors×2👇👏
Screenshot_20251015_171049_Chrome.jpg
Screenshot_20251015_170950_Chrome.jpg
Screenshot_20251015_170840_Chrome.jpg
Screenshot_20251015_171121_Chrome.jpg
 
That's the truth.

By the way, are you aware that Dar and Mombasa are categorised as Category B city alongside Kampala and Kigali. Nairobi is the only category A City in East Africa.
Category A in what 😂😂😂
 
Back
Top Bottom