Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa akili yako Tanzania ina better standards of living than Brazil, Argentina, Russia. Morocco, Chile, Colombia, Vietnam, Iran, Philippines na Lebanon?
Brazil yenyewe ndio hii sasa lots of Favela (Kibera type)
1760701473415.png

1760701492699.png

1760701513311.png

Haya tell me tofauti na Mukuru kwa njenga iko wapi hapo? 👆
 
Kama huoni difference ya hizo cities. Wew ni kichaa.

Ati least ukweli umeujua
"Kama huoni difference ya hizo cities. Wew ni kichaa."

"Ati least ukweli umeujua."🤣😂😂😂🙌hatujaanza na mishipa ishakutoka😂😂😂😂😂...
hqdefault.jpg
 
Mradi wa Kilimanjaro International Conference Centre (KMICC), Tanzania
Screenshot_2025-10-17-14-45-52-598_com.android.chrome.png


Serikali imesaini makubaliano ya ujenzi wa kituo kikubwa cha mikutano (MICE) Arusha, kitakaloweza kuhudumia watu ~5,000, pamoja na hoteli ya vyumba ~500.


Tanzania keeps growing 💗
 
They usually like unrealistic data, but the real ones hawataki😂😂
Anapost favelas anaona wameshinda Brazil. Mwambie hizo basi za Marcopolo zenye huwa wanashabikia humu ni mali na ubunifu wa Brazil. 🤣 🤣 One medium tier city in Brazil has a higher GDP than the whole of Vumbistan. Hawa watu wanachekesha.🤣🤣
 
He also conveniently sidestepped the part where I explained how the Tanzanian flag is no more similar to the SA flag than the Kenyan flag is and instead digressed by taking a clear hyperbole literally. I once said here the guy is a very good debator until he finds himself in a tight corner then he becomes senseless like the rest of them bongolalas.
Duuu! Sasa sijui ni matatizo ya uelewa mzuri lugha yenu ya Malkia ama ulimbukeni wa kutaka kuonekana unajua sana na kujikuta unaongea ujinga.

Umeandika, "the Tanzanian flag is no more similar to"

Unaposema "no more similar to" una maanisha two things were formerly similar, and are now different.

Sasa kama zilikuwa zinafanana kipi ni tofauti kwa sasa maana hizo bendera hazijabadilika rangi wala maana za rangi zake?
 
Dar is slum is one big slum. There is no need of having many small slums when all your cities are slumpolis.
Bado una hili tatizo "Hasty generalisation fallacy"
Ni aina ya logical fallacy ambapo mtu anatoa hitimisho kubwa kuhusu kundi lote (kama jiji, nchi, au watu) kwa mifano michache tu au uzoefu binafsi bila ushahidi wa kutosha
Unaongozwa na feelings kwenye kuandika hoja zako 🚮🚮
 
Hapana I am not aware of this data it must have been fabricated from Mama Ngina news Kiosk from Mukuru kwa Reuben.
Current data from UNHABITAT Q3 2025 suggest otherwise and I don't see Tanzania in it.

View: https://www.facebook.com/share/p/16Va5Bj1Xh/

Im showing you World Bank Data backed by UNHabitat lakini wewe na upumbavu wako unatuonyesha Facebook page ya udaku. You must be really dumb kusema ukweli.

1000052292.jpg
 
Bado una hili tatizo "Hasty generalisation fallacy"
Ni aina ya logical fallacy ambapo mtu anatoa hitimisho kubwa kuhusu kundi lote (kama jiji, nchi, au watu) kwa mifano michache tu au uzoefu binafsi bila ushahidi wa kutosha
Unaongozwa na feelings kwenye kuandika hoja zako 🚮🚮
Young man, in this world of you can't live with accepting the truth then you will die young.

The truth of what I was saying is here👇👇👇
1760703979283.jpeg
 
Sahihi. Hawajui Tanzania tuna nyimbo ya uzalendo "Tazama Ramani" na ni nzuri kuliko national anthem ya Kenya
Bado tuko na nyimbo ya "Tanzania Tanzania" zote nzuri kuliko natinal anthem yao halafu anasema eti sio creative. Watu ni wajinga duniani hapa
"Ta-nza-ni-a, Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nmchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana"

Huu ni mzuri sana.
 
Back
Top Bottom