Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mradi mwingine ni Vanmo Group Residential and Commercial Building Project
Huu unajengwa Dar es Salaam City centre, nimekosa picha ila website ya kampuni inasema ujenzi umeanza, upo kwenye early stage na utakamilika mwaka 2026, ukifikia stage nzuri nitakuja kuwaonesha picha Teargass
 
Hii tender ilitangazwa last month, na deadline imeshapita which means mradi utaanza kutekelezwa soon

 
TanTrade – Uboreshaji wa Nyerere Trade Fair Grounds. Dar es Salaam

Hapa si ujenzi wa maghorofa ya makazi hasa, lakini kuna mpango mkubwa wa kugeuza eneo lenye ukubwa wa ekari ~55.39 kuwa kituo kikubwa cha maonyesho (exhibition) na biashara chini ya ushirikiano wa PPP. Lengo ni kuwa kituo cha kiwango cha kimataifa.
TanTrade Invites Redevelopment of Nyerere Trade Fair Grounds in Dar es Salaam
 
Your video is talking about plans, Teargass asked you about buildings under construction kid.
Buildings under construction zipo nyingi Dar ila huyo Teargass ameweka condition ziwe 20 floors and above that's why nikaleta hiyo video
Tuko na construction projects nyingi na majengo massive that are not necessarily 20 floors and above
 
Eti kwa kuwa mnajenga majengo marefu mengi basi na Tanzania ndio tufanye hivyo.
Mnajenga majengo mengine above 20 floors lakini sio massive ukifananisha na EACLC hapa Ubungo ambalo ni fupi but ni bigger, more expensive and more modern than your so called "20 floors buildings"
What's mordern about that logistics center? Can you point out one thing that sets it apart from other buildings that makes it mordern?

What's the total construction cost of that building in relation to the buildings under construction in Nairobi?
 
Back
Top Bottom