Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza, ni vizuri ujue kuwa Mungu Ibariki Afrika haikuibwa na Tanzania. Wimbo huo uliandikwa na Enoch Sontonga, Mzulu kutoka Afrika Kusini, mwaka 1897. Ulienea kote Afrika kama wimbo wa mapambano na umoja wa Waafrika kabla hata nchi nyingi kupata uhuru.

Tanzania ilichagua wimbo huo kama alama ya umoja wa Waafrika na mapambano ya ukombozi, si uvivu wala wizi.

Kwa hiyo, si “copycat” ni kuzingatia urithi wa real panafricanism, ambao unawakilisha maombi ya pamoja ya Waafrika wote: Mungu ibariki Afrika
Tell that to your Bongo comrades since just a few hours ago , they were claiming the song was invented by Tanzanians . At least your take is much better…
 
Ustarabu uliondoka na meli wakabakiwa watupu vichwani mwao


risasi kwenye msiba hii nchi imelaaniwa na nani jameni 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

View: https://x.com/tonymkenya7/status/1978803232655704522?s=46


 
Dasilinga
efef08117336753.607433c84f342.jpg
87f737117336753.607433c84fa26.jpg
 
You just don't have them, nothing like tall buildings doesn't excite you. I once said and I say it again, just show me at least 3 buildings currently under construction in Tanzania that's 20 floors and above. Just show me three.
Dar ni kubwa sana, ukitaka kuona hizo construction fuatilia YouTube channel ya Bertin
Nairobi kila jengo jipya linakaribiana na mengine, Dar majengo yanajengwa sehemu tofauti tofauti ambayo yameachana umbali mrefu. Sio rahisi ku explore Dar na kukuletea tu projects kirahisi. Dar ni zinga la jiji, very big and widespread city
 
Tuna backup anthem 2 ni nzuri kuliko anthem ya kunyan,na hii anthem yetu ya sasa hivi atuiachi ng'o,sisi ndio tuliyoibuni iwe anthem ya upande wa SADC
Sahihi. Hawajui Tanzania tuna nyimbo ya uzalendo "Tazama Ramani" na ni nzuri kuliko national anthem ya Kenya
Bado tuko na nyimbo ya "Tanzania Tanzania" zote nzuri kuliko natinal anthem yao halafu anasema eti sio creative. Watu ni wajinga duniani hapa
 
Back
Top Bottom