Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo labda mkawaringie failed state wenzenu.
Mmeishiwa miradi ya kupost na hamna miradi hadi mnapost takataka ambazo zipo hadi Central Africa! 😂😂😂
Ebu tuonyeshe yenye mko nayo Tanzania Kwanza before tuende huko Central Africa.
 
🤣🤣Kwanza hebu relax. Hizo picha za Dar na Mbeya unazopost hazifanyi argument yako valid. Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya mara mbili, so tukipanua miji tunapumua kweli — sio kama Nairobi ambayo imebanana hadi UN report zimeiandika kama moja ya miji yenye slums kubwa duniani.

Affordable housing yenu? 😂 Bro hiyo si vision, hiyo ni crisis management. Mnaanza na mabanda, mnabomoa, mnajenga tenement, halafu mnaita miracle. Sisi huku tunaanza na ardhi tupu, tunapanga mji, tunajenga stadium, barabara, shule na makazi mapya bila kulazimika kuwafukuza watu.

Halafu usilete Mbeya bana, 😂 Dar yenye congestion bado haijafikia level ya Pipeline na Mathare zenu ambako hamna hata privacy Watu wanapanga line kuingia choo cha plot, hiyo ndo ‘world class city’ mnajidai nayo?

Miji yenu haina pumzi bro, ina asthma. Hata Nairobi imebanwa kiasi kwamba kila jengo jipya ni demolition project iliyokuwepo. Tena hiyo Nairobi yenu watu wanachunga ng'ombe hadi CBD. Hebu kwenda huko 😂😂😂
 
Umeongea kama kondoo kumi.
 
Whatever u can say nyang'au,ila hata mimi usiku na mchana nafurahi mnachomfanyia azam huko ukunyan ili ashindwe
 
They don't make my argument valid because you can't see the sense in it; you are blinded by patriotism. But must you agree with everything I say? Absolutely not! And will you please provide that UN report you are mentioning here?
How will our affordable housing projects be a vision to you when you live in a six by six uswazi hovel with no breathing space and you are contended?

Tunabomoa mabanda? I shared with you several AHP projects across Kenya. Did you see anything close to mabanda in those areas? Of course you are blinded by patriotism and there's no way you would have seen! Show me anywhere watu wamefukuzwa to give way for housing projects anywhere in Kenya. Stop engaging your emotions. And did you say mnapanga miji? You mean these ones ama kuna zingine?

Dar

Mwanza

Mbeya city


Tabora


Arusha


Zanzibar


It's evident that you've planned your towns and cities so well. Congratulations!👏👏👏
Halafu usilete Mbeya bana, 😂 Dar yenye congestion bado haijafikia level ya Pipeline na Mathare zenu ambako hamna hata privacy Watu wanapanga line kuingia choo cha plot, hiyo ndo ‘world class city’ mnajidai nayo?
Choo cha plot?🤣🤣🤣 Nairobi hakuna choo cha plot bongolala. Hizo tumeachia glorified fishing villages kama Dar. Upate pit latrine Nairobi? Wapi huko!! Hata hiyo pipeline unataja hapa, nyumba zote ni self-contained. Choo na bafu zote ndani

Houses in pipeline

Miji yenu haina pumzi bro, ina asthma. Hata Nairobi imebanwa kiasi kwamba kila jengo jipya ni demolition project iliyokuwepo. Tena hiyo Nairobi yenu watu wanachunga ng'ombe hadi CBD. Hebu kwenda huko 😂😂😂
Relax man, pressure itapanda bure. Managing pressure is not for the poor like you. Kila jengo jipya ni demolition?
Show me demolitions that took place for these highrises under construction to sprout
 
Umeamua umalize Mendez kabisa?🤣🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…