Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,122
"Bro, kusema Nairobi nyumba ni self-contained ni kama kusema Kibera ni well-planned—ni uongo mtupu." 🤣🤣🤣🤣🤣 Bro, kusema Nairobi nyumba ni self-contained ni kama kusema Kibera ni well-planned—ni uongo mtupu. UN-Habitat wenyewe wanasema zaidi ya 60% ya Wakenya wanaishi kwenye informal settlements kama Kibera, Mukuru, na Mathare—hizo si nyumba, ni human parking lots.
We are not pretending. We are just stating facts. Hard facts that you do not like. Everytime we share those facts here, you come out guns blazing, with some of you even going as far as using abusive words and discrediting everything. But must we force you to agree with everything? Absolutely not!Wakenya mnapenda kupretend kama nchi yenu ndio nzuri sana hapa East Africa kumbe la hasha. Ukweli ni tofauti kabisa, nchi yenu ni masikini tu kama zilivyo nchi nyingine za Africa, and there's nothing special in Kenya. Watu wenu wanaishi maisha magumu, watu wana njaa Kenya, watu wanaishi kwenye mabanda ya nguruwe. Nchi yenu ina kila aina ya dhiki, yani ni GDP ndio inawabeba ila nyinyi ni masikini kuliko hata Uganda. Ila basi tu mna kamdomo 😂😂😂
You talking of slums in Nairobi while your city is one big sprawling slum from east to west and north to south! Isn't this the face of your entire city?Naipori surrounding with slums,yan hiyo aikwepeki hata kidogo,biggest slum in the world ipo hapo naipori hata ww unajua,binafsi ningekua mkunya hizi za swaga za kuponda miji ya watu wala ningeziacha kabisa
Wao kila siku wanapost uswazi wa Dar ilihali wanajua kabisa uswazi wa Dar ni bora mara 100 ya slums zao za Nairobi. Haya mazingira ya Kibera, Mathare, Uthiru nk huwezi kuyakuta hapa Tanzania lakini Kenya ndio yamejaa nchi nzima 😂😂😂Hii sehemu ya Nairobi nyang'au akina Teargass wanajaribu kadri wawezavyo kuficha, ha ha ha😂
Cc: Mimi Wewe Yule
As if we weren't watching KPL games before 😂😂Hata akiondoka bado hakuna TV yenye resources za kuonyesha ligi nzima
Haya mazingira ya Kibera, Mathare, Uthiru nk huwezi kuyakuta hapa Tanzania lakini Kenya ndio yamejaa nchi nzima 😂😂😂Wao kila siku wanapost uswazi wa Dar ilihali wanajua kabisa uswazi wa Dar ni bora mara 100 ya slums zao za Nairobi. Haya mazingira ya Kibera, Mathare, Uthiru nk huwezi kuyakuta hapa Tanzania lakini Kenya ndio yamejaa nchi nzima 😂😂😂
Just show them this."Bro, kusema Nairobi nyumba ni self-contained ni kama kusema Kibera ni well-planned—ni uongo mtupu." 🤣🤣🤣🤣
Kijana wa Tandale, unataka Nairobi ifanane na Dar kwenye hili swala? Nairobi hakuna pit latrines kama huko kwenu Dar. I have never used a pit latrine in my entire life in Nairobi. Si majigambo, it's the truth. Huku watu wanatumia choo za ndani. Ask anyone who has ever been to Nairobi, they'll tell you so. Stop forcing issues here. Hata hiyo Mathare unataja hapa nyumba ziko na choo na bafu ndani. Personally, I have never set foot in Kibera but I think it's the only place you'll ever find a pit latrine (not sure about this though).
And did you mention a UN-Habitat report? How about this World Bank report? Does it ring a bell?
View attachment 3479114
We are not pretending. We are just stating facts. Hard facts that you do not like. Everytime we share those facts here, you come out guns blazing, with some of you even going as far as using abusive words and discrediting everything. But must we force you to agree with everything? Absolutely not!
Of course Kenya ni masikini, just like most African countries. No where did we say we aren't poor. That is your own creation. But we are not as poor as our neighbours, your country included. We've shared data here on poverty from WB and IMF, all placing Tanzania ahead of Kenya in poverty rates. But guess what? Tanzanians discredit such reports saying they are half baked truth. But do we even care? 🥱🥱
View attachment 3479127
Of course there's nothing special about Kenya. We are just an African country facing a host of challenges, just like most African countries do. Why you think we should be special is your own problem, not mine, or any other kenyan's for that matter.
Mbona huwa hawataji na kuonesha hizo slums zilizopo Dar!Wao kila siku wanapost uswazi wa Dar ilihali wanajua kabisa uswazi wa Dar ni bora mara 100 ya slums zao za Nairobi. Haya mazingira ya Kibera, Mathare, Uthiru nk huwezi kuyakuta hapa Tanzania lakini Kenya ndio yamejaa nchi nzima 😂😂😂
Hapa East Africa hakuna sehemu inazidi Kenya kwa slums wewe Mkundustan. Kenya mna slums level moja na India na Nigeria. Kenya haijalishi uende wapi, South, East, West au Central kote ni slums tu, ukienda North ni ukame na njaa😂😂😂You talking of slums in Nairobi while your city is one big sprawling slum from east to west and north to south! Isn't this the face of your entire city?
View attachment 3479136View attachment 3479137View attachment 3479139View attachment 3479140View attachment 3479141
The biggest slum in the world?🤣🤣🤣. Where did you get that info from bongolala? You've definitely hit panic mode
Wewe scammer unashindwaje kujua list of Slums in your big slumish city?Mbona huwa hawataji na kuonesha hizo slums zilizopo Dar!
Wanasahau kuwa biggest slum in Africa na duniani yapo Kenya. 😂😂😂
Anadhani kwenda Google earth na ku zoom out kutaweka slums Dar.
Hata mimi namshangaa, hata hizo anazoita slums bado zina nyumba zilizojengwa kwa matofali na kuezekwa bati juu, ni vile tu mabati ni ya zamani kwa hiyo yana kutu (rust)Mbona huwa hawataji na kuonesha hizo slums zilizopo Dar!
Wanasahau kuwa biggest slum in Africa na duniani yapo Kenya. 😂😂😂
Anadhani kwenda Google earth na ku zoom out kutaweka slums Dar.
Hizo ni informal settlement tu, hazijafika level ya kuitwa slums. Wote tunajua wapi unaweza pata REAL SLUMS hapa East Africa 😂😂
Data za kupikwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Sikatai, mwaka 2009 Dar ilikuwa hivyo, sasahivi tupo 2025 wewe mkazi wa Kibera 😂😂😂Haya mazingira ya Kibera, Mathare, Uthiru nk huwezi kuyakuta hapa Tanzania lakini Kenya ndio yamejaa nchi nzima 😂😂😂
Mazingira yenyewe sasaView attachment 3479168View attachment 3479169View attachment 3479170View attachment 3479171View attachment 3479173View attachment 3479174View attachment 3479175
Nimekuitisha statement umeshindwa kuleta umebaki kulazimisha niwe scammer ili kuficha aibu ya kutoleta statement! 😂😂😂
Unajua zaidi kuliko world Bank and United Nations Habitat?Hizo ni informal settlement tu, hazijafika level ya kuitwa slums. Wote tunajua wapi unaweza pata REAL SLUMS hapa East Africa 😂😂
Why are you so ashamed of your job? You should have some pride in Scamming people.Nimekuitisha statement umeshindwa kuleta umebaki kulazimisha niwe scammer ili kuficha aibu ya kutoleta statement! 😂😂😂
Poor jaluo kumbe siku hizi informal settlement imekuwa slums! 😂😂😂
Hayo majibu ya AI mbona yanakuumbua!
Kazi ni kuvaa kama wazee.
Tofauti ya hawa Wakunya na kondoo ni harufu. 😂😂😂Hata mimi namshangaa, hata hizo anazoita slums bado zina nyumba zilizojengwa kwa matofali na kuezekwa bati juu, ni vile tu mabati ni ya zamani kwa hiyo yana kutu (rust)
Lakini Kenya nyumba zinajengwa na matope, nyingine ni full mabati kuanzia chini hadi juu. Yani watu wanaiona hell hapahapa duniani, halafu wanaona sawa. Eti Singapore ya Africa, Singapore my ass 😂😂😂