concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,994
- 15,449
Haha umeshindwa hata kupata nyumba wanazoishi watu mpaka ukachote mitaa isiyo na nyumba bali mabanda kuuza mkaa ebu linganisha na hizi zenu
View: https://vm.tiktok.com/ZMAD4AkC6/
Hivi mnakunyaje kwenye nyumba zilizobanana hivyo maana hata dalili ya vyoo haipo