Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Passenger ni 160 na cargo????? Umesema 120 bila evidence... Once class one railway is electrified passenger speed itakua 240km/h
a2368a90db6897186626b91d1cdcc579.jpg

Ushasema once electrified hata hatujui ni lin na huna hata uhakika kama itafika 240km/hr ukwel
f70a917506ef78d1068b91885a48c889.jpg

Prove hyo hapo ya cargo 120km/hr that means after every hour a Tanzanian train will be 40km ahead of a kenyan train
 
Tz has 5000 km
Kutoka apa adi bukoba ni 1500 highway
Kutoka apa adi Namanga ni 800km highway
Kutoka apa adi Tunduma mbeya ni 1000km
Kutoka apa adi mtwara through rufiji ni 1000
Kutoka apa adi tanga lushoto through bagamoyo ni 500km
Kutoka mbeya mpaka kigoma through Rukwa ni 500km
Kutoka mwanza mpaka msoma ni 300km
Kutoka mwanza mpaka kigoma ni 400km

Kutoka Njombe mpaka Songea ni 250km
Musoma mpaka silali 200km

Just to mension a few
Mjini ndo zimesambaa sana na zile zinazounganisha wilaya za mikoa ambazo siwez kuzimention
Dar yenyewe ina loads kibao umu
 
I single handedly beat all this danganyikans combined.......HAPPY NEW YEAR....WACHA NIKUNYWE TUSKER LAGER YANGU POLEPOLE
 
Kumbe kenya ni 22million tonnes
[emoji23][emoji23][emoji23]
cbee3a5f6fe4001a32cef5548c72ccdf.jpg
 
Kawaida yenu sana mkibanwa kwenye corner mnabadilisha topic. the last time I checked more people in tanzania lack toilets than the numberbof people in kenya
Facts ni facts tu ndugu
 
Hamna official confirmation about height
Mnakurupuka2 na data za kupika
Inshort hamjielewi
"Official confirmation" inatoka kwa nani hasa?!
Usisahau Kumekua na mjadala hapa hapa jf kuhusu idadi ya floor na urefu wa tpa tower. Watu walileta skyscrapercity kama source wengine hadi blog zao kama source. So "official confimation" in this case inatoka kwa nani specifically?
 
Ushasema once electrified hata hatujui ni lin na huna hata uhakika kama itafika 240km/hr ukwel
f70a917506ef78d1068b91885a48c889.jpg

Prove hyo hapo ya cargo 120km/hr that means after every hour a Tanzanian train will be 40km ahead of a kenyan train
deni lenyewe litawachukua 40 yrs alaf wanawaza electric hahahha safari hii ujanja umeishia tunduni 10 yrs back wakenya walijiona wajanja sana wao ndio wao sasa wamepata mjanja zaidi yao mchina
 
Back
Top Bottom