Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

43 metres high bridge
892b3e46065f854ef5cff65127885954.jpg
 
85%-90% ya Tz haina umeme hiyo ni sawa na Nchi ya Mauritania ambayo 3/4 ni jangwa na zaidi ni mojawapo wa LDC nations.
 
None of your business! Nyang'au wamekula nini yako? Both slums and flyovers are ours. Your bongolala-land needs your half-baked elimu duni no more than a step across the boarder. Keep your lane
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
ukweli unauma sana...
 
Cha kushangaza, wakati namjibu huyu sikujua kwamba ameshajibiwa ila baada ya kuitundika ndiyo nikaona ya kwako ukiwa na mawazo yale yale niliyofikiria.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
safi sana comrade.
 
SGR Tz for now haijengwi hata picha zilizowekwa hapa ni za zamani na za Camera tuuu.
 
Mnamaneno mengi kama chiriku....na nikienda.San Francisco.. Niulize Tanzania.. Wa tajibu which kind of animals is that...yani ata Congo in famous kushinda tz
Shida yenu ndiyo hiyo, kukimbilia sifa za kujulikana Marekani wakati hata chakula hamna, mnalala kwenye mabanda kama nguruwe, ndiyo sababu wanaume wa Kenya mnaolewa kwa wingi huko Marekani kuliko wanawake wenu wanavyoolewa huko
 
Uganda celebrating sgrhttp://blogs.monitor.co.ug/2017/03/quick-facts-that-will-make-you-wish-the-standard-guage-railway-starts-now/
 
Back
Top Bottom