Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mlilieni uganda mkishamaliza tunamwita huku kama tulivofanya bomba la mafuta na method ndio hio hio bahat mzuri mseven kaekwa na tanzania na kalelewa tanzania 😀😀😀😀😀😀😀
Ukianza story refu refu kama hizo ni dalili ya kuishiwa kabsa
 
I like this thread about 10 Kenyans making many Tanzanians wet their pants
Kwababu wakenya ni washamba sana. Tutajitahidi kuwafundisha. Yaani mnaonesha ni namna gani mlivyo wafinyu wa International issues. Yaani wewe ndiye picha halisi ya wakenya. Hahahahaha, yaani weweni mweupe kabisa kichwani.
 
Ata haukua unajua bridge iko na height...dawa ya ujinga yako sijui ttatoa wapi
 
yani rwanda aache kusave over 130m usd akazitupe kutumia sgr ya kenya maana munamuona kagame mwehu sana😀😀😀😀😀

E0ED2E4D-5B03-471C-99EF-16F42819F865.jpeg
 
China class 1 and 2 are improvements of AREMA so AREMA is below that class

How comes AREMA can move trains at a higher speed than class one and 2 with a load 2/3 tht of class 1 and class 2 ?? Ni jibu hapo

Class 1 can move 35mil tonnes 80km/hr (mizigo) 120km/hr (passengers) Kenya
Class 2 around 15mil tonnes

AREMA 20mil can be upgarded to 30mil tonnes at a higher speed 120km/hr(mizigo) 160km/hr (passengers)
Unahisi kwann tuliwakatalia wachina
 
85%-90% of Tanzanians are not connected to the National Grid. This is funny and at the same time soo so sad.
By 2020 Tanzania itafikia universal electric connectivity, yaani zaidi ya 95%, itakua nchi ya kwanza kufikia hiyo hatua kwa nchi za ukanda huu, na kwa Africa nzima itakuwa nchi ya saba, sasa hivi Tanzania imefikia 68% wakati Kenya ni 64%. Itabidi wakenya muanze kunilipa tuition fees, kwasababu kama ninaanzanupya kuwaelimisha, shule mlizotoka bure kabisa.
 
na hapo rea 3 ishaanza yani hawa jamaa sijui watatokea mlango gani😀😀😀😀😀
 
Kenya's Paved roads 9,273 km.

Paved roads in Tz only 1,500 km.

Paved Road Good Condition = 1,026.27 Km z
Paved Road Fair Condtion = 283.37 Km z
Paved Road Poor Condition = 139.91 Km z
Paved Roads Total Kilometres in Tanzania Mainland = 1,449.55 Km
Hahaha, hivi unajua Dar -Kigoma ni 1600km na ni Lami?
Huko kichwani umeweka mavi?
 
Kwababu wakenya ni washamba sana. Tutajitahidi kuwafundisha. Yaani mnaonesha ni namna gani mlivyo wafinyu wa International issues. Yaani wewe ndiye picha halisi ya wakenya. Hahahahaha, yaani weweni mweupe kabisa kichwani.
Hawa jamaa kiuwezo wa akili ni hakuna, wanauelewa mdogo sana wa mambo ya kidunia,mwalijifungia sana huko kwao wakidhani Kenya ni kila kitu, wamestuka too late, sasa wanababaika
 
How comes AREMA can move trains at a higher speed than class one and 2 with a load 2/3 tht of class 1 and class 2 ?? Ni jibu hapo

Class 1 can move 35mil tonnes 80km/hr (mizigo) 120km/hr (passengers) Kenya
Class 2 around 15mil tonnes

AREMA 20mil can be upgarded to 30mil tonnes at a higher speed 120km/hr(mizigo) 160km/hr (passengers)
Unahisi kwann tuliwakatalia wachina
Haha speed depends on locomotives and once electrified the railway can handle locomotives that moves atleast 220 to 300 km/hr.....
There is nothing like upgrading or increasing tonnage in railways thats your own story for now yours will handle 15 million tonnes...and is single stack(no container on top of the other) unlike class one double stack because the rail is if higher quality)
Kenya rail is mainly meant for cargo....Kenya is building a six lane high speed super highway from nai to msa with 25 interchanges... Contraction has already started
 
na hapo rea 3 ishaanza yani hawa jamaa sijui watatokea mlango gani😀😀😀😀😀
Tatizo walikuwa hawaijui vizuri Tanzania, Kenya ni watu wa makelele sana, kila kitu wao wanaandika, kwahiyo sisi tunaijua sana Kenya kuliko wao wanavyoijua Tanzania, sisi huku ni kimya kimya tu, ukistukia kitu kimeshakamilika, sasa wanachanganyikiwa, kumbuka walipokuwa wanajenga SGR, kila dakika ni kujaza picha humu ndani, watangazaji wao wa TV stations walikuwa wamepiga kambi huko field wanarusha live, lakini huku husikii kitu, ndiyo sababu wanasisitiza picha za SGR ya Tanzania, wanashangaa inakuwaji tunajenga reli ya umeme lakini hakuna makelele wala picha?, hiyo ndiyo tofauti yetu, tumewastukiza sana na mabadiliko yanayotokea Bongo.
 
Back
Top Bottom