Huo ndiyo ukweli mchungu, kwamba Magufuli anatumia vizuri pesa ya serikali kiasi cha kuweza kutoa $3.1B from internal sources, haijawahi kutokea katika historia ya Dunia, kwa nchi ya third world masikini kufanya hivyo. Hii inatifundisha kwamba, Africa ikipata viongozi makini inaweza kujifanyia mambo yake mengi yenyewe bila kutegemea mikopo na misaada toka nje na kuiweka nchi katika mzigo mkubwa wa madeni kama Kenya, matokea yake Uhuru wa nchi kujiamulia mambo yake unapungua, nchi ikitishwa kidogo kunyimwa misaada, inakimbia kupiga kura