Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

azam tv,the only tv station in east and central africa that has state-of-the-art outside broadcasting facilities.

luxury ob bus.
24a53ba8c38720829417940fda2e3fc6.jpg
4efb11c288f6963dd5f7ecff6c981a18.jpg
df2495c2ae88ff556b273c33b3b53856.jpg
8e724e49531ab49b59f2b5bf86c7d13a.jpg
43663562827aa27956199feaaa181bf7.jpg

NB:
azam tv owner is a tanzanians born businessman and billionaire, said salim bakhresa.
Yani mzee wa 50 years utashinda ukisifia Mali ya wenyewe na hata barabara poa hakuna arusha
 
Yani mzee wa 50 years utashinda ukisifia Mali ya wenyewe na hata barabara poa hakuna arusha
asante kwa povu la hasira...

feed ya KBC during cecafa 2017 ilitolewa na tv station gani?.

ukijibu wewe ni "manzi yangu",usipojibu wewe ni mke wangu,ukitoa povu wewe ni kilaza.haya chagua moja.

BTW mimi ni wa 50s na wala si uongo.nanyorosha vijana majobless toka kenya.
 
Class two railway
Unaumia sana ukimuona giant anainuka maana inajulikana kenya hawana chao.

1. Tumeanza kwenye utalii tumewakalisha chini
2. Music industry tumewakalisha chini
3. Movie industry tumewakalisha china
4. Real Estate tumewakalisha chini
5. Mega projects tumewakalisha chini
6. Bomba la mafuta toka uganda tumewakalisha chini
7. EPA tumewakalisha chini.

The Champ is Here!!
CHzn49HUkAABpHK.png

Sasa tunawatafuta kwenye usafiri wa anga na bandari
 
SGR Uganda » SGR comparison of KE, TZ, Ethiopia and UG
Download that pdf
 
asante kwa povu la hasira...

feed ya KBC during cecafa 2017 ilitolewa na tv station gani?.

ukijibu wewe ni "manzi yangu",usipojibu wewe ni mke wangu,ukitoa povu wewe ni kilaza.haya chagua moja.

BTW mimi ni wa 50s na wala si uongo.nanyorosha vijana majobless toka kenya.
Were.kilaza 2
 
source pls.
usipoleta source wewe ni mke wangu,na ukileta source isiyo rasmi wewe ni kahaba wangu wa kike...chagua moja.
Achana naye huyo, akili zake zimewehuka kwa sababu ya kukosa lishe bora utotoni, si unafahamu hali ya njaa Kenya?
 
Hiyo ni uganda vision 2040. Hapa tunaongelea 2020 rafiki. Vision ya Tanzania ni kunufaisha Local kwanza wengine baadae. Tunataka soko la ndani liwe satulated ndipo tuende kwingine. Ndiyo maana sera za ajira TZ ni mtanzania kwanza na hata katika uwekezaji kuna local content. For now huwezi kuja tu TZ na kuwekeza mpaka uelewe maana ya local content.
Part of vision 2040..by 2020 railway itakua done
 
Aibu kubwa sana Kenya has twice the tarmac tz .yet Kenya is smaller....SHAME ON YOU AND CCM
Nani kakuambia, Kenya tarmac roads hadi August 2017 kabla ya kipindi cha kwanza cha uchaguzi wenu zilikua 14,000 km, Tanzania 18,000km. Uhuru alitoa ahadi ya uongo 2013 kujenga 10,000km, ameishia kujenga 4,000km, aliahidi 5 World class stadia, hakujenga hata uwanja wa mbuzi, hadi Joho kamzidi
 
Part of vision 2040..by 2020 railway itakua done
Nimekwambia hiyo ni Vision ya Uganda siyo ya kenya. Mbona mbovu kuelewa? Kwanini usiongelee maswala yenu. Ninyi project zenu zipi za maana?
Tanzania is a giant broda. Hatuhitaji nguvu kubwa. Tunahitaji action tu. Everything we have. Kenya haiwezi competation na Tanzania, mtakopa mpaka muishiwa

CHzn49HUkAABpHK.png
 
Back
Top Bottom