Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Once sgr is electrified the locomotives will move at 240 km/hr
669665e78c515586adc8a0601342ce50.jpg
 
Haha speed depends on locomotives and once electrified the railway can handle locomotives that moves atleast 220 to 300 km/hr.....
There is nothing like upgrading or increasing tonnage in railways thats your own story for now yours will handle 15 million tonnes...and is single stack(no container on top of the other) unlike class one double stack because the rail is if higher quality)
Kenya rail is mainly meant for cargo....Kenya is building a six lane high speed super highway from nai to msa with 25 interchanges... Contraction has already started

Naona umepanick kijana kiasi kwamba unatushushia uwezo wa reli yetu ..nimekubali kwamba rail yenu ni double stack na inasafirsha up to 35mil tonnes ..ila ni SLOW VERY SLOW 80km/hr
Mm ni mtu wa facts ..sawa
Tz ni 18miltonnes take it or leave it ..at a higher speed of 120km/hr
3d3887d53b93b99f461709f2169575e2.jpg
 
By 2020 Tanzania itafikia universal electric connectivity, yaani zaidi ya 95%, itakua nchi ya kwanza kufikia hiyo hatua kwa nchi za ukanda huu, na kwa Africa nzima itakuwa nchi ya saba, sasa hivi Tanzania imefikia 68% wakati Kenya ni 64%. Itabidi wakenya muanze kunilipa tuition fees, kwasababu kama ninaanzanupya kuwaelimisha, shule mlizotoka bure kabisa.
napenda sana hizi story za "tuta".
 
85%-90% of Tanzanians are not connected to the National Grid. This is funny and at the same time soo so sad.
Can you guec which side is Kenyan side ??
Na hio ni 2013
Acha kutuletea data zako uchwara

1cdc2485f8ad82c0979d834007378692.jpg
 
Naona umepanick kijana kiasi kwamba unatushushia uwezo wa reli yetu ..nimekubali kwamba rail yenu ni double stack na inasafirsha up to 35mil tonnes ..ila ni SLOW VERY SLOW 80km/hr
Mm ni mtu wa facts ..sawa
Tz ni 18miltonnes take it or leave it ..at a higher speed of 120km/hr
3d3887d53b93b99f461709f2169575e2.jpg
80 km/hr double stack... Very fast and safe.....sijaona 120 km/hr cargo
 
Bullet train ....iyo Kenya mtakuja kuipata 2999 ......
by 2020 tutakua tunazaidi ya 700 km za sgr. ....
Mlikua mnakimbia ukwel mliambiwa bullet,mnaogopa as if tunatumia pesa zenu
my friend do you know what a bullet train is or are you confusing an sgr with bulet train? Tanzania doesn't have the technology and energy requirements to run a bullet train. Hata pale Europe, only a handful contries have bullet trains
 
Naona umepanick kijana kiasi kwamba unatushushia uwezo wa reli yetu ..nimekubali kwamba rail yenu ni double stack na inasafirsha up to 35mil tonnes ..ila ni SLOW VERY SLOW 80km/hr
Mm ni mtu wa facts ..sawa
Tz ni 18miltonnes take it or leave it ..at a higher speed of 120km/hr
3d3887d53b93b99f461709f2169575e2.jpg
Kaka mbona unawapa kichwa hao wakenya, hao ni watu waongo sana, ni watu wamkupenda sifa ila wakisema kitu usiwaamini, waambie wakuletee ushahidi, Tanzania SGR inategemea kusafirisha 18 millions tonnes, wakati Kenya ni 25 mllions tonnes, sio 35millions tonnes, hao ni watu wa kupika data na kuongeza namba, waambie wakuletee ushahidi, mimi data zangu ninazo hapa kiganjani, wakenya ni watu wa kupenda sifa za kijinga
 
Back
Top Bottom