Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mshamba ujitokeza mwenyewe
0972c6a33709ed6a4cc75a519e232599.jpg

Hapa ni Tazara Serou Bridge Tanzania limejengwa mwaka 1970
1024px-Tazara_crossing_bridge.jpg

1024px-Rovos_Rail_on_TAZARA_track_across_Mpanga_River.jpg

shim.gif
 
Kuna comparison ya railways hapo..mnajenga AREMA railways (class 3) Ethiopia (class 2) ke na ug (class 1)

Unajua AREMA wewe mpuuzi wa mwisho fala wewe ...ety AREMA class 3 K wewe ...Unataka umdanganye nan kadanganye BIBi zako huko AREMA HAINA CLASS 1 wala 2 hizo ni kwenye Chinese classes za SGR ambayo Kenya ni Class 1 n ethipoia ni class 2 ..AREMA Ni American Railyways Maintenance Association .. ambayo inajengwa Tz
 
Ati Uganda inaitaka Tanzania. Well lets hear from Uganda government themselves what they say about mombasa route and dar es salaam route
View attachment 664392 View attachment 664393 View attachment 664394 View attachment 664395 View attachment 664396 View attachment 664397 View attachment 664398
kwan bomba la mafuta ilikuaje remember usisahau bado mapema sana, sisi hua tunakuja mwishoni tunachukua kiulaini malizeni maongez na mseven alaf tunamuita kwetu kumaliza deal
 
Unajua AREMA wewe mpuuzi wa mwisho fala wewe ...ety AREMA class 3 K wewe ...Unataka umdanganye nan kadanganye BIBi zako huko AREMA HAINA CLASS 1 wala 2 hizo ni kwenye Chinese classes za SGR ambayo Kenya ni Class 1 n ethipoia ni class 2 ..AREMA Ni American Railyways Maintenance Association .. ambayo inajengwa Tz
Arema ukiclassify inakam number 3 after China 1 na 2....China waliimprove arima wakapata class 1 na 2.
 
85%-90% of Tanzanians are not connected to the National Grid. This is funny and at the same time soo so sad.
 
Nakuurumia sana mwarabu yani umeshindwa siku hizi hadi unataja mandazi
huo ndio ukweli wala msijidanganye dunia ya leo mutaidanganya mambo yako wazi sana siku hzi mambo ya uongo uongo yashapitwa na wakati😀😀😀😀

alaf hii ni jamii forum ukikosea tunakuumbua hapo hapo hatusubirii
 
Kenya's Paved roads 9,273 km.

Paved roads in Tz only 1,500 km.

Paved Road Good Condition = 1,026.27 Km z
Paved Road Fair Condtion = 283.37 Km z
Paved Road Poor Condition = 139.91 Km z
Paved Roads Total Kilometres in Tanzania Mainland = 1,449.55 Km
Kutoka apa adi bukoba highway ni 1500km
So kwa takwim zako hyo ndo sehem pekee Tz yenye Rami
Na hamna mtaa wa DSM wenye rami
Kweli once a Kenyan always a Nyani
 
huo ndio ukweli wala msijidanganye dunia ya leo mutaidanganya mambo yako wazi sana siku hzi mambo ya uongo uongo yashapitwa na wakati😀😀😀😀

alaf hii ni jamii forum ukikosea tunakuumbua hapo hapo hatusubirii
Uliishiwa kabisa nlikuambia hapa tutakuponya
 
Back
Top Bottom