naona sasa unataka kuturejesha nyuma kwenye historia ya utawala wa kikoloni EA.
sizungumziii gari moshi la mkoloni...nazungumzia gari moshi mlilokopa kwa pesa kubwa toka kwa mchina ambapo mtalipa deni kwa kukwata kodi zenyu.kila raia mkenya lazima atalipia hata wale mafukara wa kibera [emoji23] [emoji23]
kama unataka tu-concentrate kwenye historia ya utawala wa kikoloni hapa EA,basi sisi tulianza kumiliki gari moshi tangu 1890s.bado tuliwatangulia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]