Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_6580.jpeg
IMG_6583.jpeg
IMG_7002.jpeg

😂😂😂yes,yes ...More renders please😍
 
Hawa jamaa kitu wasichojua vitu vingi washaachwa , ukianza kwenye hata vyombo vya usafiri, sasa hivi karibia Kila wilaya watu wanakwenda na luxury buses ambazo huwez zipata popote Kenya at least kidogo Uganda wa bebeto.
Ukija kwenye vibe maeneo yote kuanzia clubs mpaka disco vumbi hakuna pa kugusa.
Kwenye exports , baada ya miaka miwili hawatakuwa na nafasi ya kuingiza bidhaa Tanzania sababu kuna majority ya viwanda vinajengwa tz na cost of production itakuwa chini sana
 
Nakumbuka nyuma nyuma tulikua tunapambania sana Mpira wa Tanzania , Tumetoka mbali sana, Kuna mwaka tuliilipa Brazil kucheza nao, Wakundustan waliosha vinywa Kinoma kwa kejeli ( ile inaitwa Verbal diarrhea)
Leo hii matunda yameanza kuonekana tunapenda Team zetu, tunapenda mpira, wetu na muziki wetu, Tumewekeza na tunaendelea kuwekeza ila, Hiki kizazi masikini cha nyoka kinadhani tumeanza jana na midomo bado mirefu kama Mnara wa Britam 😂😂😂😂😂. Mammaae usione vyaelea , Vimeundwa.
 
Imekuuma sindio?, My friend Kalilie na huko usinipake Kamasi😂😂😂
They've always believed that northern Kenya hakuna barabara. They can't believe their eyes so such comments are understable coming from them
 
They've always believed that northern Kenya hakuna barabara. They can't believe their eyes so such comments are understable coming from them
😂Kumbuka we are dealing with descendants wa wale walioamini kinjikitile Ngwale, mwishowe wakapigwa risasi za matako😂😂😂😂 so waelewe brother .
 
Nakumbuka nyuma nyuma tulikua tunapambania sana Mpira wa Tanzania , Tumetoka mbali sana, Kuna mwaka tuliilipa Brazil kucheza nao, Wakundustan waliosha vinywa Kinoma kwa kejeli ( ile inaitwa Verbal diarrhea)
Leo hii matunda yameanza kuonekana tunapenda Team zetu, tunapenda mpira, wetu na muziki wetu, Tumewekeza na tunaendelea kuwekeza ila, Hiki kizazi masikini cha nyoka kinadhani tumeanza jana na midomo bado mirefu kama Mnara wa Britam 😂😂😂😂😂. Mammaae usione vyaelea , Vimeundwa.

View: https://x.com/kenannyaata99/status/1966588955748434334?s=46
 
Back
Top Bottom