Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It is the other way round you fool. Huku ni vijana wadogo mtandaoni wanaoongelea Vumbistan. Huko kwenu Hadi Rais anatuongelea. Example, during mambo ya Boniface mwangi, your parliament spent a whole day discussing Kenya, your president talked about Kenya. Huku our parliament had no time for you. Our president said nothing about you.
Well, president wenu aliomba msamaha Tanzania
 
Tatizo lako Bahati una hasira sn, eti Rais wenu haongelei Tanzania, alafu chakula cha bei nafuu atatoa wapi!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Viongozi wenu wote wanaongelea issue ya Tanzania kuweka sheria ya katazo la raia wa kigeni kufanya biashara za kimachinga kitu ambacho kimepelekea wakenya kuumia sanaa cz over 70% ya wakenya walio Tanzania ni machinga, 20% ni walimu na waliobaki ndiyo kidoogoo wapo kwenye vikazi vya maana. And for your information, hata hao 10% walio kwenye white collar jobs pia tunawafukuza, bakini kwenu, kwani lazima mgombanie kuja Tz!!????
We jamaa 😂😂😂
 
20250912_130435.jpg
20250912_130425.jpg
 
Kwanza ujue kingereza sio lugha yangu hapo nimejitahidi sana kwani kuna shida gani umenielewa au bado but your country is next English speaker to the British happy now mzungu mweusi
Mnyamwezi hata hii kiingereza rahisi unashindwa tu bado kuelewa?🤣🤣🤣
Read again and understand the Tweet
 
Kwanza ujue kingereza sio lugha yangu hapo nimejitahidi sana kwani kuna shida gani umenielewa au bado but your country is next English speaker to the British happy now mzungu mweusi
I don't know how many times tunapaswa kuwaambia hawa Wakenya kwamba English sio lugha yetu ya kwanza. Maana hawaelewi
 
Can you compare that to you spending a whole day in parliament discussing Kenyan youths?
Nope we didn't do that. Walidiscuss vitu vingi. Discussion about Kenyan youths took place only in few minutes, then discussion nyingine za maana zikaendelea
 
Nope we didn't do that. Walidiscuss vitu vingi. Discussion about Kenyan youths took place only in few minutes, then discussion nyingine za maana zikaendelea
Ebu tazama huu uchungu wote na saahiyo mnaongelea vijana wadogo wengine bado wako shule za upili na za msingi. Huwezi pata huu upuzi Kenya. Na sio mara ya kwanza, hata lile jambo la Jaguar mliliongelea sana.


View: https://www.youtube.com/watch?v=iH4ZDHa6kCo

View: https://www.youtube.com/shorts/XbHU_fXeuaw

View: https://www.youtube.com/shorts/8rb3coTKMsQ
 
Back
Top Bottom