Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,156
- 9,576
Spain hana ubalozi hapo ukunduni au mm ndiyo sijaelewa
Mnyamwezi hata hii kiingereza rahisi unashindwa tu bado kuelewa?🤣🤣🤣Spain hana ubalozi hapo ukunduni au mm ndiyo sijaelewa
Ndio maana nime-post!Spain hana ubalozi hapo ukunduni au mm ndiyo sijaelewa
That's Kasarani estate bongolala. A million times better than your sprawling uswazi hovelsAloooo, alafu hilo vundo kule pembeni sasa 🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3469593
Full house Moja kwa mwaka ambayo hata sio sanctioned na FIFA Wala CAF ndio imekupa matumaini 😂😂😂😂Wakati tulikuwa tunawambia hiyo timu ya taifa tunajua madhaifu yake yapo kwa walimu hatuwamimi na ndiyo maana watu hawakuwa hata na habari nayo ilibidi wawe wanatumia nguvu kubwa kushawishi watu hebu ona Simba hakunanguvu iliyotumika timu ikifanya vizuri mashabiki utawapata tu wala haitaji nguvu
Ila hakuna timu kundustan ambayo ishawahi kusanya gate fee za kuzidi hata 8mil ksh wakati tzs the highest ilikuwa 23mil ksh.Full house Moja kwa mwaka ambayo hata sio sanctioned na FIFA Wala CAF ndio imekupa matumaini 😂😂😂😂
Full house huwa inapimwa kwa revenue collection , hivi highest revenue collection in Kenyan league ishawahi fika 10mil Toka Dunia iumbweFull house Moja kwa mwaka ambayo hata sio sanctioned na FIFA Wala CAF ndio imekupa matumaini 😂😂😂😂
BOda boda wakenya wanazidi kuona motooo..🔥🔥
View attachment 3469872
Hii discussion haikuwa kuhusu Gate collections ilikuwa kuhusu attendance so sitajibu lakini hili lingine lazima nikukosoe..Ila hakuna timu kundustan ambayo ishawahi kusanya gate fee za kuzidi hata 8mil ksh wakati tzs the highest ilikuwa 23mil ksh.
Tegemea revenue kutokana na gate fee kwa simba day na yanga day each kuzidi 40mil ksh kabla ya matangazo🤣.
Hakuna siku Kenya mshawahi kuwa na gate fee revenue kuizid Tanzania , mind you mwaka huu the highest ticket fee ni 30,000 ksh/ person . Tutafutie vip tickets za Kenya.
Hakuna timu ya Kenya Inaweza invite timu ya Tanzania kwa friendly match ika afford hata kuwagharamia nauli,posho chakula na mpaka malazi.
Ndo maana mnaona mpaka equity bank yuko radhi kulipia tangazo almost 3mil tsh kwa siku kwa simba day ila hawez weka hata 19,000 kwa league yenu
Hii discussion haikuwa kuhusu Gate collections ilikuwa kuhusu attendance so sitajibu lakini hili lingine lazima nikukosoe..
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1964709964922151005?t=-HOtkCp4bHiMXal0vAMN9w&s=19
That is Tanzania 🤣 🤣BOda boda wakenya wanazidi kuona motooo..🔥🔥
View attachment 3469872
How many floors when completed?View attachment 3470394View attachment 3470395View attachment 3470398View attachment 3470399
😂😂😂😂Wale wa thanks for Renders, it's the weekend, dont worry, I got you covered. I present you with The Marble West!. Tayari on the 6th floor wow!👏 👏